Boni Mwaitege ashusha mjengo wa hatari Kitunda

Mbona kapaka rangi ya ccm? Au kwa hisani ya mama lwaka....
 
Shelter Vs celebrities.Mnaomponda Bon M kwa kuwa na mjengo wa under standard labda mnge suggest appropriate house for him, kiwanja na eneo kabisa.Life vs malengo
 
Nilidhani nyumba kama za kina Reginald Mengi, Bakhresa n the like.
 
mjengo wa hatari ndo huu?any way hongera sana Bon si haba hakuna anaekudai kodi ya nyumba
 
Hongera yake, lakn hyo nyumba ni ya kawaida sana...mleta mada kakuza mambo
 
Okay. Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…