Pre GE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

Pre GE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.

Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025

boniyai ashauriwe kufanya mazoezi, huo mwili wake wa kinyakyusa anakuwa kama pipa sio afya. pia, najua amefaidika sana na mbowe, na bado ana allegiance naye, atumie hekima kubwa sana ili asiwe tiss wa mbowe kwenye chama na adumu kwenye siasa, ama la....hatatufaa.
 
Yale machawa punguani ya CCM yatazidi kuchanganyikiwa, maana kila walochotarajia kitatokea, hakitokei.

Walitarajia baada ya uchaguzi, kuna kundi kubwa la viongozi wa CHADEMA litatimkia CCM, mpaka sasa, hawajaambulia hata mmoja.

Hongera Boniyai, endelea kuyadhalilisha machawa punguani ya CCM.

CHADEMA imejaa watu wenye akili, hakuna wa kwenda CCM.
Ni mtu mpumbavu pekee na mla rushwa ndiyo anaweza kwenda CCM kuungana na majangili ya mali za umma.
 
Lisu maisha yate hajawahi changia Chadema kwenye hiyo tone tone Lisu kachangia shilingi ngapi? Wekeni na ushahidi
 
Back
Top Bottom