Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Nitachangiaaaaaaaa
Mimi tayari, na nitaendelea kuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitachangiaaaaaaaa
boniyai ashauriwe kufanya mazoezi, huo mwili wake wa kinyakyusa anakuwa kama pipa sio afya. pia, najua amefaidika sana na mbowe, na bado ana allegiance naye, atumie hekima kubwa sana ili asiwe tiss wa mbowe kwenye chama na adumu kwenye siasa, ama la....hatatufaa.Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
Ahahahahaha!!!Wewe ni mtoto wa shule. Ukikua, hasa akilini, ndiyo utajua kuwa furahahaioneshwi kwa kukenua meno.
Amefanya vyemaBoniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
Amekomaa kisiasa.Bonny hajawahi kurudi nyuma
Ni mtu mpumbavu pekee na mla rushwa ndiyo anaweza kwenda CCM kuungana na majangili ya mali za umma.Yale machawa punguani ya CCM yatazidi kuchanganyikiwa, maana kila walochotarajia kitatokea, hakitokei.
Walitarajia baada ya uchaguzi, kuna kundi kubwa la viongozi wa CHADEMA litatimkia CCM, mpaka sasa, hawajaambulia hata mmoja.
Hongera Boniyai, endelea kuyadhalilisha machawa punguani ya CCM.
CHADEMA imejaa watu wenye akili, hakuna wa kwenda CCM.
Huu ubunifu ni cross cutting aiseeBoniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama.
Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
😀😀duuhNi mtu mpumbavu pekee na mla rushwa ndiyo anaweza kwenda CCM kuungana na majangili ya mali za umma.
Roho inakutafuna?Lisu maisha yate hajawahi changia Chadema kwenye hiyo tone tone Lisu kachangia shilingi ngapi? Wekeni na ushahidi