Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Ni kama bihashara ya dawa za kulevya lazma mzurumianeHata Yuda Mbona mapema sana alijuta qmmk Usaliti haufai hapo nikutubu nakusema ukweli tu
Halafu Kigaila ukimtizama tu usoni unaona huyu akili hana. Sielewi alipataje cheo.Kwamba watanzania wapoteze muda kumsikiliza Kigaila na Rungwe
Propaganda za kitoto unafanya.Hii text kanitumia jamaa yangu ame screen shoot mazungumzo yake na mmoja ya G55. Huyu jamaa yangu alianza kuingia mkenge kuungana na hawa jamaa. Amekuja shtuka anasema hakujua wanatumika na Mfumo na Baadhi ya Viongozi CCM.
View attachment 3338467
Kigaila umekuja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Propaganda za kitoto unafanya.
😁😁😁Kigaila na rungwe .Kwamba watanzania wapoteze muda kumsikiliza Kigaila na Rungwe
Mwenyewe huwa nashangaaHalafu Kigaila ukimtizama tu usoni unaona huyu akili hana. Sielewi alipataje cheo.
Kule chauma hakuna hela labda wataishia kula ubwabwa tu *****😆Sasa ngoja waingie chauma kila mmoja atajulikana rangi yake halisi, tutaona kila rangi walizo nazo wasaliti hao
No way kwa kweli.Kwamba watanzania wapoteze muda kumsikiliza Kigaila na Rungwe
Ndivyo ilivyo mkuu 🤣🤣Ni kama bihashara ya dawa za kulevya lazma mzurumiane
Na hakuna kwenda mahakamani, mnamalizana kibabe mtaani!Ni kama bihashara ya dawa za kulevya lazma mzurumiane
Karibu sana ndugu John MlemaUpuuzi [emoji2781]
Dah,Boni Yai katuvuruga, katuharibia, katushusha thamani. Ni nani alimtuma kutufanyia hivi, G55 Waanza umbuana