Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #21
Dah,
Njaa55 wamesambaratika mapema sana kabla hawajaanza!
Mradi ushachacha
Kuna moja eti linalipiwa makazi ya muda na Msajili wa Vyama - Mutungi, sijui atarudisha vipi fadhila!
Leo wachache wamekaza moyo ila wamekosa mvuto kabisa