Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 May 19, 2025 Thread starter #21 antimatter said: Dah, Njaa55 wamesambaratika mapema sana kabla hawajaanza! Mradi ushachacha Kuna moja eti linalipiwa makazi ya muda na Msajili wa Vyama - Mutungi, sijui atarudisha vipi fadhila! Click to expand... Leo wachache wamekaza moyo ila wamekosa mvuto kabisa
antimatter said: Dah, Njaa55 wamesambaratika mapema sana kabla hawajaanza! Mradi ushachacha Kuna moja eti linalipiwa makazi ya muda na Msajili wa Vyama - Mutungi, sijui atarudisha vipi fadhila! Click to expand... Leo wachache wamekaza moyo ila wamekosa mvuto kabisa
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,949 Reaction score 2,081 May 19, 2025 #22 Komeo Lachuma said: Hii text kanitumia jamaa yangu ame screen shoot mazungumzo yake na mmoja ya G55. Huyu jamaa yangu alianza kuingia mkenge kuungana na hawa jamaa. Amekuja shtuka anasema hakujua wanatumika na Mfumo na Baadhi ya Viongozi CCM. View attachment 3338467 Click to expand... Majuto ni kama kivuli, hayakwepeki hasa baada ya kufanya maamuzi ya ovyo.
Komeo Lachuma said: Hii text kanitumia jamaa yangu ame screen shoot mazungumzo yake na mmoja ya G55. Huyu jamaa yangu alianza kuingia mkenge kuungana na hawa jamaa. Amekuja shtuka anasema hakujua wanatumika na Mfumo na Baadhi ya Viongozi CCM. View attachment 3338467 Click to expand... Majuto ni kama kivuli, hayakwepeki hasa baada ya kufanya maamuzi ya ovyo.