Boni Yai: Kukamatwa Dk. Slaa na kunyimwa dhamana kijanja kijanja, ni jambo la kulaaniwa na kila mpenda Haki na hasa aliye Mzalendo!


Kubagazana kama wenda kuzimu?

Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!

Hayo mbona tulishamalizana nayo zamani sana?

Habari ndiyo hiyo.
 
Wakuu jf leo nawabatiza kila mmoja kwa imani yake.

Mzee slaa amekamatwa na kufikishwa mahakamani ,usiku wa leo Bwana anaonya ,na kuwataka watawala mwachia huru ,sasa hamtaki sikia mtajiju.


Mwachieni huyu mzee bila mashariti yoyote na mtabarikiwa asema Bwana
 

Kusikia Kwa kenge hadi damu masikioni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…