- Thread starter
- #21
Lissu, Mbowe, Samia au yoyote mwingine si miungu watu. Yoyote kati yao anaweza 'kubagazwa' kivyovyote vile, si kila unayeamini ndivyo alivyo ukadhani wote wanaamini hivyo.
All politicians are self-centered, crooks and they serve their own interests first before anything else.
Never trust a politician, hata awe nani.
Kubagazana kama wenda kuzimu?
Kujaribu kuwazodoa kina Mandela, Nyerere, Lissu, nk ni kujidhalilisha!
Hayo mbona tulishamalizana nayo zamani sana?
Habari ndiyo hiyo.