The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali ilikuwa inalenga kuteka umma(kupata attention).
Boniface ameeleza kuwa ajenda hiyo ni halali na niajenda ambayo imepitishwa na vikao halali vya kamati kuu ya CHADEMA.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hata hivyo ameeleza kuwa kukataa ajenda hiyo ni kumdhalilisha aliyekua Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.