Boni Yai ni Great Politician na ana maturity ya hali ya juu- Big brain

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those .

Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae.

Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema does not fit kupewa nchi, hawapo reliable na wana conflict of interests sana. Tukiwapa nchi wanaweza kutuuza. We now understand the reason why -the Mafia G55!

Kama kijana unaweza kuondoka kwenye chama kwasababu za Subjectivity na kukwamisha juhudi za Chama….. je ukipewa nchi si utauza watu kabisa ……

Thank you Shekh Boni Yai….. hili jambo ume clarify vema sana na tumeelewa G55 ni kina nani, and of course we feel their pain but democracy ina gharama yake .

Chadema imeingia kwenye rebirth na tunakwenda kuwa chama halisi cha maendeleo ya Taifa . Ninaiona Chadema mbali sana than ever before. CCM wanajua wazi chadema ya sasa inavokwenda kuwa ndio maana wana weka block sana but wata feli.

Mwisho, tuliwaaambia CCM itatoka tukipata upinzani wa kweli, chadema ya zamani haikuwa inamaanisha upinzani but survival …… chadema ya sasa inamaanisha Upinzani….. and my fellow…. Jiandae haitokuwa so easy ila mwisho wa siku Chadema will standard forth and we will remember old bad days chini ya CCM
 
Attachments

  • 986A77AD-BF1F-40A9-9576-87F745666E7B.mp4
    8.9 MB
Swali fikirishi na chechefushi: Asingekuwa boss wa kanda yake, angeendelea kusalia Sidiemu?

Siyo kwamba hicho cheo ndicho kimemshikilia hapo alipo?

Nadhani ni mapema sana kuwalaumu wale G55 peke yao.

Big up mie nawapa wale waliokoswa vyeo, lakini bado wameshikilia msimamo wa chama chao.
 
Hii hotuba imenifanya nisisikie njaa tangu alipomaliza kuhutubia najisikia kushiba tu. Yaani amewakomesha ; na mfano wa njimbi nimemuelewa zaidi.
Mambo mazuri hayaji kwa giza la siku moja.
Waende tu, tutaonana baadae.
 
I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those .

Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae.

Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema does not fit kupewa nchi, hawapo reliable na wana conflict of interests sana. Tukiwapa nchi wanaweza kutuuza. We now understand the reason why -the Mafia G55!

Kama kijana unaweza kuondoka kwenye chama kwasababu za Subjectivity na kukwamisha juhudi za Chama….. je ukipewa nchi si utauza watu kabisa ……

Thank you Shekh Boni Yai….. hili jambo ume clarify vema sana na tumeelewa G55 ni kina nani, and of course we feel their pain but democracy ina gharama yake .

Chadema imeingia kwenye rebirth na tunakwenda kuwa chama halisi cha maendeleo ya Taifa . Ninaiona Chadema mbali sana than ever before. CCM wanajua wazi chadema ya sasa inavokwenda kuwa ndio maana wana weka block sana but wata feli.

Mwisho, tuliwaaambia CCM itatoka tukipata upinzani wa kweli, chadema ya zamani haikuwa inamaanisha upinzani but survival …… chadema ya sasa inamaanisha Upinzani….. and my fellow…. Jiandae haitokuwa so easy ila mwisho wa siku Chadema will standard forth and we will remember old bad days chini ya CCM
story telling, porojo na umbea ndio political maturity sio gentleman?🐒
 
hiii press ya leo, imefuta yale maigizo yaliyokuwa yakifanywa kila siku ya baadahi ya wasaliti(sio viongozi) waliokuwa wakijitoa chamani.
waende tu. Mchele na pumba zitajulikana tu.
 
Wale HD55 ni wehu. Wamefanya uhayawani ambao kila mmoja anauona wazi kabisa.

Wakati wa uchaguzi, kuwa na makundi, ni jambo la kawaida sana, na siyo kosa. Lakini uwe kwenye kundi ukiwa na moyo na akili ya kupokea maamuzi hata yaliyo kinyume na matakwa yako.

Kunafanyika uchaguzi, kwa sababu hatujui wapiga kura watamchagua nani. Ile hali tu ya kutokujua wajumbe watamchagua nani, tayari inakuwa imekujengea utayari wa kupokea matomeo ya mgombea wako kushinda au kushindwa.

Sasa hawa HD55, walikuwa na mawazo mgombea wao ni lazima ashinde. Kama kuna mgombea ambaye ni lazima ashinde, kunakuwa na haja gani ya kufanya uchaguzi? Huo ujinga na uwendawazimu, upo pia CCM. Utasikia mwendawazimu anasema kuwa Samia ni lazima ashinde!! Kama ni lazima Samia ashinde, sasa kuna haja gani ya kufanya uchaguzi? Boni Yai anawapa shule HD55, akina Mrema, lakini kwa sababu rushwa inapofusha akili, kamwe hawawezi kuelewa chochote.
 
Swali fikirishi na chechefushi: Asingekuwa boss wa kanda yake, angeendelea kusalia Sidiemu?

Siyo kwamba hicho cheo ndicho kimemshikilia hapo alipo?

Nadhani ni mapema sana kuwalaumu wale G55 peke yao.

Big up mie nawapa wale waliokoswa vyeo, lakini bado wameshikilia msimamo wa chama chao.
Hapana . Boni ni watafauti sana . He is not a neutral man
 
Wale HD55 ni wehu. Wamefanya uhayawani ambao kila mmoja anauona wazi kabisa.

Wakati wa uchaguzi, kuwa na makundi, ni jambo la kawaida sana, na siyo kosa. Lakini uwe kwenye kundi ukiwa na moyo na akili ya kupokea maamuzi hata yaliyo kinyume na matakwa yako.

Kunafanyika uchaguzi, kwa sababu hatujui wapiga kura watamchagua nani. Ile hali tu ya kutokujua wajumbe watamchagua nani, tayari inakuwa imekujengea utayari wa kupokea matomeo ya mgombea wako kushinda au kushindwa.

Sasa hawa HD55, walikuwa na mawazo mgombea wao ni lazima ashinde. Kama kuna mgombea ambaye ni lazima ashinde, kunakuwa na haja gani ya kufanya uchaguzi? Huo ujinga na uwendawazimu, upo pia CCM. Utasikia mwendawazimu anasema kuwa Samia ni lazima ashinde!! Kama ni lazima Samia ashinde, sasa kuna haja gani ya kufanya uchaguzi? Boni Yai anawapa shule HD55, akina Mrema, lakini kwa sababu rushwa inapofusha akili, kamwe hawawezi kuelewa chochote.
Hata kwenye Uchaguzi walimuona Lissu kama adui na sio mpinzani wa democracy.

Najua hawa jamaa watarudi na kuomba msamaha au watapoteq mazimq

Chadema is here to stay , ndio chama pekee cha upinzani tunakitegemea
Nchi bila upinzani thabiti ni upuuzi
 
I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those .

Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae.

Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema does not fit kupewa nchi, hawapo reliable na wana conflict of interests sana. Tukiwapa nchi wanaweza kutuuza. We now understand the reason why -the Mafia G55!

Kama kijana unaweza kuondoka kwenye chama kwasababu za Subjectivity na kukwamisha juhudi za Chama….. je ukipewa nchi si utauza watu kabisa ……

Thank you Shekh Boni Yai….. hili jambo ume clarify vema sana na tumeelewa G55 ni kina nani, and of course we feel their pain but democracy ina gharama yake .

Chadema imeingia kwenye rebirth na tunakwenda kuwa chama halisi cha maendeleo ya Taifa . Ninaiona Chadema mbali sana than ever before. CCM wanajua wazi chadema ya sasa inavokwenda kuwa ndio maana wana weka block sana but wata feli.

Mwisho, tuliwaaambia CCM itatoka tukipata upinzani wa kweli, chadema ya zamani haikuwa inamaanisha upinzani but survival …… chadema ya sasa inamaanisha Upinzani….. and my fellow…. Jiandae haitokuwa so easy ila mwisho wa siku Chadema will standard forth and we will remember old bad days chini ya CCM
Huyu ndiye alimsaliti mbowe. Hawezi kuwa msemaji wake
 
hiii press ya leo, imefuta yale maigizo yaliyokuwa yakifanywa kila siku ya baadahi ya wasaliti(sio viongozi) waliokuwa wakijitoa chamani.
waende tu. Mchele na pumba zitajulikana tu.
Fumigation inafanya kazi

Lissu ni mwenyekiti wa only 5 years na chadema sio chama chake ni chama cha umma

Ili chadema ikue rebuild ni lazima
 
Back
Top Bottom