Boni Yai ni Great Politician na ana maturity ya hali ya juu- Big brain

Boni Yai ni Great Politician na ana maturity ya hali ya juu- Big brain

Kuna siku utakuja kijitambua na kubaini ulikuwa kwenye giza

Wewe unfocus kwenye tumbo not a better generation
How do you focus on a better generation, (future generation), without creating methods to overcome uncertainty

Do you read between lines
 
Swali fikirishi na chechefushi: Asingekuwa boss wa kanda yake, angeendelea kusalia Sidiemu?

Siyo kwamba hicho cheo ndicho kimemshikilia hapo alipo?

Nadhani ni mapema sana kuwalaumu wale G55 peke yao.

Big up mie nawapa wale waliokoswa vyeo, lakini bado wameshikilia msimamo wa chama chao.
Mbona Devoo njaa kali kajiondoa alikuwa mwenye kigoda kanda ya kati??
 
Mbona Devoo njaa kali kajiondoa alikuwa mwenye kigoda kanda ya kati??
Labda kasoma upepo kwamba asingeenda popote kutokana na upinzani wa kandaa yake.

Nadhani hiyo kanda yake ndiyo Kanda ya Ziwa ya Sisiemu.
 
Wale HD55 ni wehu. Wamefanya uhayawani ambao kila mmoja anauona wazi kabisa.

Wakati wa uchaguzi, kuwa na makundi, ni jambo la kawaida sana, na siyo kosa. Lakini uwe kwenye kundi ukiwa na moyo na akili ya kupokea maamuzi hata yaliyo kinyume na matakwa yako.

Kunafanyika uchaguzi, kwa sababu hatujui wapiga kura watamchagua nani. Ile hali tu ya kutokujua wajumbe watamchagua nani, tayari inakuwa imekujengea utayari wa kupokea matomeo ya mgombea wako kushinda au kushindwa.

Sasa hawa HD55, walikuwa na mawazo mgombea wao ni lazima ashinde. Kama kuna mgombea ambaye ni lazima ashinde, kunakuwa na haja gani ya kufanya uchaguzi? Huo ujinga na uwendawazimu, upo pia CCM. Utasikia mwendawazimu anasema kuwa Samia ni lazima ashinde!! Kama ni lazima Samia ashinde, sasa kuna haja gani ya kufanya uchaguzi? Boni Yai anawapa shule HD55, akina Mrema, lakini kwa sababu rushwa inapofusha akili, kamwe hawawezi kuelewa chochote.
Mbowe aliwakomesha sana G55 kumbe angeyakataa matokeo ya uchaguzi 21jan 2025 hawa jamaa tungegawana mbao. Si watu wazuri waliishi kwa kumtegemea mtu.
 
I know a good guy mwenye Maturity na Mental Strength…… Shekh Boni Yai ni one of those .

Boni Yai ni Team Mbowe lia lia…. But amechagua Objectivity over subjectivity… hii inamfanya kuwa kijana makini na tunaweza kumuamini kama kiongozi wetu wa baadae.

Wapinzani CCM walishawahi kusema Chadema does not fit kupewa nchi, hawapo reliable na wana conflict of interests sana. Tukiwapa nchi wanaweza kutuuza. We now understand the reason why -the Mafia G55!

Kama kijana unaweza kuondoka kwenye chama kwasababu za Subjectivity na kukwamisha juhudi za Chama….. je ukipewa nchi si utauza watu kabisa ……

Thank you Shekh Boni Yai….. hili jambo ume clarify vema sana na tumeelewa G55 ni kina nani, and of course we feel their pain but democracy ina gharama yake .

Chadema imeingia kwenye rebirth na tunakwenda kuwa chama halisi cha maendeleo ya Taifa . Ninaiona Chadema mbali sana than ever before. CCM wanajua wazi chadema ya sasa inavokwenda kuwa ndio maana wana weka block sana but wata feli.

Mwisho, tuliwaaambia CCM itatoka tukipata upinzani wa kweli, chadema ya zamani haikuwa inamaanisha upinzani but survival …… chadema ya sasa inamaanisha Upinzani….. and my fellow…. Jiandae haitokuwa so easy ila mwisho wa siku Chadema will standard forth and we will remember old bad days chini ya CCM
1747499646648.jpg
 
Mtu ambaye hana kitu mfukoni, hana anachoweza kukisimamia kwa dhati, ndio maana yule mwanadada kasema chadema ilikuwa kama duka, sasa duka limefungwa, ujasiriamali wa kisiasa Tanzania.
 
Haina comeback hii amemaliza kila kitu anaejitokeza leo nikutaka fedheha ndio mana leo hata wale wa press kama wamenyuti hivi
 
Back
Top Bottom