beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema Mkandarasi alipewa Barabara tangu 2013 na amalize 2015 lakini hakumaliza. Alipewa tena 2015-2017, 2017-2019, 2019-2021 na bado hajamaliza
Ameeleza, "Miradi inayopita Butiama kuna shida gani? Katika mradi ambao unatia aibu katika Mkoa wa Mara ni huu wa Barabara. Yule Mkandarasi hatamaliza"
Aidha Mbunge huyo ameomba msaada wa Spika akiongeza Mkandarasi ameshindwa hata kwenda 'site' tangu Februari