Kuna mambo sijaelewa hapa, Mbunge wa Bunda siyo Maboto na kama ni mbunge wa Bunda inakuwaje anaongelea Butiama ?Hakuna miradi ya barabara ya kimkakati iliyomalizika kipindi Cha Mwendazake. Barabara hiyo ilikuwa ya kuunganisha Mara mpaka Arusha kupitia mbuga ya Serengeti na Manyara. Ilianza kutengenezwa kipindi Cha Jakaya kuanzia Butiama ikaishia njiani baada ya Jiwe. Na haikuguswa tena na inasemekana kampuni iliyopewa tenda Mwendazake ana hisa.
Ficha unyumbu wako basi .Magufuli hakujenga wala kumaliza barabara zozote toka ameingia kwa awamu yake ya miaka 5.
Barabara alizoacha Kikwete ndio alikuwa anazindua huku ambazo hazikuunganishwa na lami bado zilibakia vilevile .
Hizo barabara za huko zilianzaga kipindi cha JK lakini Magu hajazimaliza.mfano Mto wa mbu hadi Musoma,Mbeya-Tabora/Singida via Rungwa.Kigoma-Tabora,Kigoma-Kagera,Kigoma-Katavi-Rukwa .
Kiufupi yeye alikuwa busy na ndege,sgr,bwawa la umeme na propaganda kibao
Shujaa alipiga sn pesaHakuna miradi ya barabara ya kimkakati iliyomalizika kipindi Cha Mwendazake. Barabara hiyo ilikuwa ya kuunganisha Mara mpaka Arusha kupitia mbuga ya Serengeti na Manyara. Ilianza kutengenezwa kipindi Cha Jakaya kuanzia Butiama ikaishia njiani baada ya Jiwe. Na haikuguswa tena na inasemekana kampuni iliyopewa tenda Mwendazake ana hisa.
Bunda ina majimbo 3, Bunda mjini, Mwibara na hilo la bwana Getere. Hili la bwana Getere ni upande wa kulia mwa barabara kama unatoka Mwanza kwenda Musoma, ni pale pale Bunda sometimes wanapaitaga Bunda vijijini, kuna barabara imeandikwa hivi "ushashini", hiyo barabra inakwenda hadi Butiama kwa mwl NyerereKuna mambo sijaelewa hapa, Mbunge wa Bunda siyo Maboto na kama ni mbunge wa Bunda inakuwaje anaongelea Butiama ?
Unamaanisha ile inayoenda Nyamuswa?Bunda ina majimbo 3, Bunda mjini, Mwibara na hilo la bwana Getere. Hili la bwana Getere ni upande wa kulia mwa barabara kama unatoka Mwanza kwenda Musoma, ni pale pale Bunda sometimes wanapaitaga Bunda vijijini, kuna barabara imeandikwa hivi "ushashini", hiyo barabra inakwenda hadi Butiama kwa mwl Nyerere
There you are na ndio jimboni kwa huyo jamaaUnamaanisha ile inayoenda Nyamuswa?
Basi hilo ni Jimbo la Bunda vijijini, ninavyojua mimi.There you are na ndio jimboni kwa huyo jamaa
Imekamilika wewe pimbi? Yule dikteta alikamilisha mradi gani wa barabara ndani ya miaka 5 iliyopita? Kwa hiyo value ya yeye kukaa miaka 5 madrakani ni kujenga hako ka barabara ka kibaha tuu? Acha upumbavu bora Mungu katuona maana tungedidimia zaidi.Ficha unyumbu wako basi .
Kwamba barabara ya Kimara - Kibaha iko vilevile?
There you are brother, nimeandika pia hivyo kwenye maelezo yangu hapo juBasi hilo ni Jimbo la Bunda vijijini, ninavyojua mimi.