Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

Mimi sina sababu ya kutafuta vyanzo sio kazi yangu nimesema nimesoma sehemu kama nilivyosoma hapa. wenye kazi zao watatoa tu ila kwangu mimi ndio kwanza najuwa kuna mtu anaitwa Nondo kwa kusoma tu hizi taarifa maana hata sijui ni nani haswa.
Basi haikuwa na umahiri hata wa wewe kuchangia mawazo yako,uwe unashamed na kupiga,fresh siku inaisha shwaaaa
 
gentleman,
embu acha masikhara bas kwenye mambo ya msingi kama hayo aise, kua na shukrani tafadhali hata kidogo tu πŸ’
 
aina hiziushirikina zimeturudisha nyuma sana aise dah!

huu ni mzaha sio mzaha Gentleman?πŸ’
UPINZANI HANA PESA KAMA NYIE CCM ,HAWANA JESHI KAMA NYIE MLIVYO NA POLISI,HAWANA SIRAHA KAMA ZETU .

CCM MNA NUKA DAMU ZA WATU NA MUNGU AMEWANYAMANZIA ,CCM MUMEUA WATU WENGI SANA.

UPINZANI HAWANA MAHAKAMA NYINGINE ZAIDI YA KUTUMIA MAHAKAMA YAO YA JADI

NYIE CCM MNATURUDISHA NYUMA SANA!!
 
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu aliyemuokoa na kifo.
 
gentleman,
embu acha masikhara bas kwenye mambo ya msingi kama hayo aise, kua na shukrani tafadhali hata kidogo tu πŸ’
Shukrani kwa kuwa na majengo ya Hospitali bila ya kuwa na Tabibu, madawa wala vifaa tiba?
Hebu kuwa siriasi kidogo ingawa ni kawaida yenu Wana CCM kufanya maskhara kwa maisha ya watanzania.
 
Lazima kue na miundombinu kamilifu kisha hayo mengine yapate nafasi.

madawa utayaweka kwenye jengo la tope gentleman? au unataka madaktari waishi kama vindege?

nashukuru kwa kutambua uwepo wa majengo ya maana kwa madhumuni ya kutolea huduma za Afya πŸ’
Shukrani kwa kuwa na majengo ya Hospitali bila ya kuwa na Tabibu, madawa wala vifaa tiba?
Hebu kuwa siriasi kidogo ingawa ni kawaida yenu Wana CCM kufanya maskhara kwa maisha ya watanzania.
Gentleman,
siasa ni sayansi.

siasa ni mipango mikakati madhubuti, hayo mengine ni ya ziada tu πŸ’
 


Tanzania opposition youth leader dumped at beach after abduction​

02 Dec 2024


Image: ACT Wazalendo

Tanzanian opposition youth leader Abdul Nondo has been found after being dumped at a beach, less than a day after he was reportedly kidnapped in the main city of Dar es Salaam.

His party, ACT Wazalendo, says Nondo was severely beaten and injured and has been taken to hospital.
The party’s deputy chairperson, Isihaka Mchinjita, said Nondo had been blindfolded and repeatedly assaulted while being threatened with death.

The police have issued a statement confirming the incident at Coco Beach late on Sunday night, saying they are investigating the matter.
They said he had been abandoned at the beach by his abductors and had sought help from a motorcycle taxi rider, who then took him to the party offices.

β€œFrom there, party leaders rushed him to the hospital for treatment. We are investigating and we will take legal action,” police spokesman David Misime said on Monday morning.
After visiting him in hospital, Mchinjita said in an earlier update at 02:00 local time (23:00 GMT), that Nondo had been beaten β€œfor a long time” before being dumped at the beach where the abductors β€œremoved his blindfold and handcuffs”.

β€œNondo said his abductors threatened him, warning him that if they capture him again, they would not spare his life,” he added The motive behind his abduction is not clear.

On Sunday, ACT Wazalendo said Nondo was snatched minutes after he had arrived from the western region of the country where he had been campaigning for the party’s candidates in last week’s local elections.

He had been taken from a bus station in Dar es Salaam in the early hours of Sunday by two individuals travelling in a white four-wheel-drive vehicle.
The police now say investigations are under way to identify the suspects and determine their motive.

This incident follows the kidnapping and killing of a senior leader from the main opposition party in September.
In that case, Chadema’s Ali Mohamed Kibao was taken from a bus, beaten and then doused with acid. President Samia Suluhu Hassan denounced the incident and called for an investigation into the murder.
Source: BBC
 

Kiongozi wa Ngome ya vijana wa upinzani Tanzania atupwa ufukweni baada ya kutekwa nyara​

2 Desemba 2024


Image: ACT Wazalendo

Kiongozi wa ngome ya vijana wa upinzani Tanzania ACT Wazalendo, Abdul Nondo amepatikana baada ya kutupwa ufukweni, chini ya siku moja baada ya kuripotiwa kutekwa nyara katika jiji kuu la Dar es Salaam.

Chama chake, ACT Wazalendo, kinasema Nondo alipigwa na kujeruhiwa vibaya na amelazwa hospitalini.


Naibu Mwenyekiti wa chama hicho, Isihaka Mchinjita, alisema Nondo amezibwa macho na kushambuliwa mara kwa mara huku akitishiwa kuuawa.


Polisi wametoa taarifa kuthibitisha kisa hicho katika ufukwe wa Coco beach Oysterbay jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili usiku, wakisema wanachunguza kisa hicho.

Walisema alikuwa ametelekezwa ufukweni na watekaji wake na aliomba msaada kwa mwendesha teksi ya pikipiki bodaboda , ambaye alimpeleka katika ofisi za chama.


β€œKutoka hapo viongozi wa chama walimkimbiza hospitalini kwa matibabu. Tunachunguza na tutachukua hatua za kisheria,” msemaji wa polisi David Misime alisema Jumatatu asubuhi.


Baada ya kumtembelea hospitalini, Mchinjita alisema katika taarifa yake ya awali saa 7 usiku , kwamba Nondo alipigwa "muda mrefu" kabla ya kutupwa ufukweni ambako watekaji "walimvua kitambaa machoni na kumpiga. pingu”.


"Nondo alisema waliomteka nyara walimtisha na kumuonya kwamba wakimkamata tena, hawatamuokoa maisha yake," aliongeza. Sababu ya kutekwa nyara kwake haijabainika.


Siku ya Jumapili, ACT Wazalendo kilisema Abdul Nondo alinyakuliwa dakika chache baada ya kuwasili kutoka eneo la Magharibi mwa nchi la Kigoma ambako alikuwa akiwapigia kampeni wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa mitaa uliofanyika wiki iliyopita uliogubikwa na utata kiasi kuitwa uchafuzi wa uchaguzi wa TAMISEMI 2024

.
Alikuwa amechukuliwa kutoka kituo cha basi jijini Dar es Salaam alfajiri ya Jumapili na watu wawili waliokuwa wakisafiri kwa gari jeupe la magurudumu manne.


Polisi sasa wanasema uchunguzi unaendelea ili kubaini washukiwa na kubaini nia yao.
Tukio hili linafuatia kutekwa nyara na kuuawa kwa kiongozi mwandamizi kutoka chama kikuu cha upinzani CHADEMA mwezi Septemba 2024.


Katika utekaji wa kiongozi mwandamizi, Ali Mohamed Kibao wa CHADEMA alitolewa kwenye basi na kupigwa kisha kumwagiwa tindikali. Rais Samia Suluhu Hassan alikemea tukio hilo na kutaka uchunguzi wa mauaji hayo ufanyike.
Chanzo: BBC
 
At least huyu kapatikana haraka tena akiwa bado anapumua


Bado kina soka, Chaula na wengine.
Mungu ajalie nao waachiwe wazazi wao na familia wam shukuru Mungu kwa kurejea kwao salama.
Maana wanalia usiku na mchana
 
Ngoja tuone mwisho wa haya utakuwa vipi


Umewaza kama mimi aisee!
Hata awamu ilopita nilikuwa nawaza hivi hivi nikawa namsihi Mwenyezi Mungu kimoyomoyo anijalie kuona mwisho wake utavyokuwa na kweli Mungu ni Mwaminifu alinionesha namshukuru kwa kweli.
Na Halafu wakiwa ulingoni kwenye uongozi Pengine huenda wanajiona aaah hivi na hivi IΕ‚a watakaookuwa nje ya uwanja watajuta maisha yao yote.
Watatakani siku zirudishwe nyuma wawatendee Watu yaliyo ya haki na kuacha udhalimu na uonevu lakini itakuwa haiwezekani.
Saingine Watakuwa wanalala usingizi kwa kunywa madawa makali siku zote.
Usingizi wa kawaida itakuwa ni kama ndoto kwao.
 
wa


mmnh?!
 
Watu wanauana kisa utawala halafu miaka mia mbele kizazi chote hiki kitakuwa kaburini yani huu ujinga wanaoufanya ni balaa.

Ccm acheni tamaa mtamaliza watu bure mbwa nyie hamna hata huruma.

Umenifanya kuwaza marais wa awamu kadhaa nyingi hawapo tena Duniani na hivi miaka ya juzi kati karibuni walikuwepo.
Julius , Alli, Benyamini na Yoseph πŸ™†β€β™‚οΈπŸ€¦β€β™€οΈπŸ˜­πŸ˜­
Wote wameshalala mazima 😭
Kwanini tusijitahidi kutendeana yaliyo ya haki ??
RIP all.
 
Ila huyu kaka anapitia mateso ktk harakati zake, si aachane tyuu na siasa zitakuja mpa matatizo makubwa zaidi au Kifo kabisa.

Namuonea huruma, [emoji25][emoji25][emoji25]
 
Nani aliye nyuma ya haya?, na ni kwanini wanatekwa kwani wameongea nini kibaya,


Na kama ni kibaya sheria zinademaje?
Katiba inasemaje ?
Je atekwe ?
Je auwawe ?
Je apotezwe ?
Au apelekwe mahakamani ili ikamuliwe vile inavyostahili kwa haki ?
Je Viongozi hawa huwa wanaapa kwa kushika vitabu vitakatifu Kwamba watazingatia na kuheshimu Katiba ya nchi ??
 
Ila huyu kaka anapitia mateso ktk harakati zake, si aachane tyuu na siasa zitakuja mpa matatizo makubwa zaidi au Kifo kabisa.

Namuonea huruma, [emoji25][emoji25][emoji25]


Hapana wacha aendelee na juhudi zake na Mungu atazidi kumpigania na kushinda,
Hana baya.
Ako na karama ya tofauti na Mungu atamuwezesha kufika mbali.
 


Sasa kwenye uongozi wa democracy bila kukosoana kutakuwa na ufanisi gani?
Watu wasitoe maoni yao jamani wakati ni haki yao ??
Unajua unaooongoza Watu (binadamu) ni tofauti na kuongoza wanyama kwa mfano.

Actually kusema kukosoa liko hasi lakini tu sema watu kutoa maoni yao Zidi ya mambo yanayohusu Taifa lao na hatima ya vizazi vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…