Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

Polisi waliacha traces nyingi sana kwenye utekajinaya wa Nondo.

Nilisema na pia narudia, kadiri wanavyozidi kufanya uhuni huu, wsnajiumbua na ipo siku wataanza kunywa dawa wanaypitengeneza
 
Inahusiana nini na uchonganishi wako?..huko mitaani hivyo vyama vyenu vya upinzani vina matawi? Vijana ambao ndiyo ngome ya upinzani walijiandikisha?..unaweza weka picha za foleni za kura zenye vijana wengi?
Kama hakuna picha za foleni za vijana, hao wapiga kura 31m+ waliojoandikisha walitokea wapi, ama nchi hii ina wazee 31m? Au mmejisahau kwa ile idadi ya kupika?
 
Hatari sana wakuu hatari
Mmmh !!!!!!!!!! πŸ˜±πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ
Naona hii ni kama kutaka kumchafua mtu ili aonekane hafai au hatoshi πŸ˜³πŸ™„ !
Naikumbuka ile kauli kwamba LABDA MAMBO YAHARIBIKE ZAIDI πŸ˜³πŸ™„

Ngoja tuone πŸ˜±πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ !
 
Mtu ambaye angempeleka hospitali angetakiwa kumpeleka kwanza polisi ili apate fomu ya PF3, huko angeunganishwa na utekaji ili polisi wajitoe kwenye tuhuma.
 
Kwamba wanamchafua na yeye yuko kimya?
 
Muda mfupi uliopita ,Abdul Nondo amepatikana nje ya ofisi Za ACT mΓ‘gomeni.Taarifa Za awali zinasema yupo mahututi akiwa hajiwezi kwa lolote,
Hii Tanzania hujui umuamini nani? kwanza mimi napinga lolote kuhusu haya mambo siungi mkono kabisa lakini kuna maswali ya kujiuliza. Mtu akiokotwa kawaida anapelekwa Hospital sio ofisi za chama usiku na kuna sehemu nimesoma kuwa katupwa akasimamisha boda na kuomba impeleke ofisi ya chama hapa tunaambiwa mahututi hata kuongea hawezi sasa mtu mahututi kapandaje boda. Tukemee hii tabia lakini pia tukemee taarifa za kupotosha maana watu wanatumia hii kama kick za kisiasa pia. nchi hii tunasema kufa kufaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…