Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.
Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja kwa moja ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano