Pre GE2025 Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3116335

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.

Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja kwa moja ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
Pigo kwa masisiyemu na mapandikizi yake
 
Mwisho wao umefika Rasmi
Kuna kazi ngumu sana mbele ya safari kabla ya hayo matamanio kupatikana.
Sijui kama kazi hiyo nzito CHADEMA kwa kushirikiana na wananchi wataimudu katika muda huu mfupi ulio baki.

Pengine itabidi kuweka matumaini huko huko ndani ya CCM yenyewe kujigeuza rangi kama kinyonga! Bora nusu shari kuliko shari kamili. Wengine tupo tayari kupokea mabadiliko yoyote toka mahali popote wakati huu.
 
View attachment 3116335

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.

Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja kwa moja ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
Mbowe amefanikisha kusimika vijana wake lissu chalii kifo cha mende!
 
View attachment 3116335

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.

Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja kwa moja ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
J3 hiyooo
 
Hakuna wa kuipa hofu CCM. Taifa hili litaendelea kuwa mikononi Mwa CCM kwa kadri ya uhai wake.View attachment 3116344View attachment 3116344
Ni sawa!

Sasa risasi.za Nini!!?wakati spinning na kuwa pro active kungetosha!!

Ni kusema intelligence ya chama imekufa au wamepewa wajinga!!?
Tufikiri kwa pamoja!!!

Hii teka teka,potea potea ni kuiga Yale ya miaka 1994 kule Rwanda pale ambapo mapanga yaligeukambadala wa hoja!
 
Back
Top Bottom