Pre GE2025 Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Pre GE2025 Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna wa kuipa hofu CCM. Taifa hili litaendelea kuwa mikononi Mwa CCM kwa kadri ya uhai wake.View attachment 3116344View attachment 3116344
20240923_124437.jpg

Lakini bila ya hawa mbwa hamna kitu mlichokuwa mnakiweza.
 
View attachment 3116335

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.

Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja kwa moja ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
Timu Lusu wanazidi kugaragazwa chini
Timu Mbowe imeshinda tena

Pole kwa Tundu Lisu
 
Watu wengi hawana upendo wa dhati, wanadanganya tu ili wasitekwe au kuuawa. Kwenye Uchaguzi ulio huru na haki utashangaa. Hata hivyo CCM itamueka mgombea anayekubalika na Mwanaume atakayejali uhai na utu wa binadamu wote.
Ni nani huyo ambaye ana sifa hizo huko CCM. Labda wamuweke Luhaga Mpina 😂
 
Hakuna saccos mkuu ,Demokrasia imetamalaki!Ngoja muanze kupitisha wagombeavwenu Hakika mwashambwa na uchawa wako sijui kama meno Yako yatasalimika!
Angalia aliyeshika cheo cha mweka hazina Patrick Assenga ni wa kule kwa mwenye saccos Mbowe mshika fuko la fedha la Chadema
 
View attachment 3116335

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.

Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja kwa moja ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano
Leo siku kutembelea mahabusu....naona wamefanikiwa sana kumbakiza jela kwa miezi kadhaa.......Lema alikaa miezi 4 Kisongo
 
Uwe na adabu kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama.Unafikiri bila hawa askari wetu wazalendo na waliojitolea maisha yao kutulinda ungepata wapi uhuru wa kuja kuandika ujinga wako hapa?
Na wewe ushike adabu na adabu ikushike na mbwa wenu wa kipoliccm, sema bila ya hawo mbwa ccm isingekuwa hapo ilipo.
 
Back
Top Bottom