Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo

NAUNGA MKONO AMANI , UTULIVU NA MSHIKAMANO NDANI YA NCHI YETU NZURI YA TANZANIA , TANZANIA KWANZA . NINGEPENDA KUSISITIZA UTULIVU BORA KATIKA KIPINDI HIKI KATIKA CHAGUZI NDOGO NA KUBWA ZIJAZO NDANI YA NCHI YETU , VITU VIDOGO VICHACHE VISIJE TUTENGANISHA KAMA TAIFA , WATANZANIA NI WAMOJA . TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI . MBARIKIWE - ENG. ADAM MAGESA EKINGO (MJUMBE CCM , WILAYA YA ILALA) #POLITICS #SIASA #TANZANIA
 
Attachments

  • AMANI_053446.png
    AMANI_053446.png
    385.4 KB · Views: 1
Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii hawezi kunyakuliwa kama mwizi.

Fake news
 
Kuna kiongozi mmoja mkubwa anaipeleka nchi kusiko!
 
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikisema kada wake aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob 'Boni Yai' amekamatwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi amesema hana taarifa.

Taarifa za Jacob kukamatwa, zimeanza kusambaa mitandaoni dakika chache zilizopita leo Jumatano, Septemba 18, 2024 na kwamba amekamatiwa Sinza, jijini Dar es Salaam.

Mwananchi limemtafuta, Wakili wa CHADEMA, Hekima Mwasipu ambaye amesema yupo njiani kuelekea Kituo cha Polisi cha Osterbay.

“Ni kweli amekamatwa na polisi waliovalia sare na wengine wamevalia kiraia maeneo ya Sinza. Walikuwa na defender na tuna taarifa kuwa amepelekwa Osterbay polisi na mimi niko njiani nakwenda.”
 
Sasa wamevua nguo wako uchi tanawaona sura zao za kikatili waziwazi 😡
Mange Kimambi kwenye video post yake amesema wazi kuuwawa Mzee Kibao sio mwisho na nia ni kuisambaratisha CHADEMA kwa njia yoyote.
 
Back
Top Bottom