Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
" Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana".

" Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao "


"Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka aondoke, autuachie chama chetu"

Haya ni maneno ya Boniface Jacob, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani na kijana wa karibu wa Mbowe wakati akizindua ofisi ya chama wilaya ya Kinondoni, ambapo Freeman Mbowe alikuwa mgeni rasmi.

Your browser is not able to display this video.
 
Kwani Lissu akiwa Mwenyekiti kuna Shidagani?
Inamaana hawa jamaa kuna kitu wanakifaidi ndani ya chadema ambacho sisi wanachama hatukijui?
Mbowe bado atabaki kuwa mtu Potential sana hata akiwa nje ya Wenyekiti
 
Hivi jitu unakuaje mjinga hadi unakuwa kama Boni yai,ni shauri ya kula sana au?
 
Boni ndio amtishe Jabali la kisiasa nchi hii TAL. Sisi wapiga kura mnaotegemea tuandamane licha ya kutokua na kadi ya chama chochote tunamuhitaji Lisu aongoze CDM kama mwenyekiti. Nyie chawa mnaotegemea fadhila za mwenyekiti Ili mpate kula tafadhari muondoke na Mwenyekiti wenu.

Hakuna jambo jipya Mbowe anaweza kufanya ambalo hajafanya miaka 22 iliyopita.
 
Bonge nyanya anawashwa. Demokrasia inabeba vingi ikiwemo freedom of speech
 
Kwani Lissu akiwa Mwenyekiti kuna Shidagani?
Inamaana hawa jamaa kuna kitu wanakifaidi ndani ya chadema ambacho sisi wanachama hatukijui?
Mbowe bado atabaki kuwa mtu Potential sana hata akiwa nje ya Wenyekiti
Wanataka Lissu awaachie chama chao awataki mtu aguse kiti cha Mbowe.
 
Kwani Lissu akiwa Mwenyekiti kuna Shidagani?
Inamaana hawa jamaa kuna kitu wanakifaidi ndani ya chadema ambacho sisi wanachama hatukijui?
Mbowe bado atabaki kuwa mtu Potential sana hata akiwa nje ya Wenyekiti
kuna haja gani awe nje ya uenyekiti sasa kama ni potential?๐Ÿ’
 
Unajifurahisha kwenye key board hapa mkuu ...

Wacha kumtegemea sana binadamu, ataku dissappint hutaamini..

Waulize washabiki wa Mrema?
 
Chadema ni Taasisi ya Umma kwahiyo ni Rasilimali ya nchi

Tutamtetea Mtu yoyote Mwenye Uzalendo

Waliwaonea akina Zitto, Dr Slaa, nk tukakaa kimya ila sasa Yatosha ๐Ÿผ
ni muhimu sana hawa vibaraka wakatizamwa kwa umakini mkubwa sana wasivuruge taasisi kwa maslahi yao binafsi na waliowatuma ๐Ÿ’
 

Mbowe awezi muachia chama Lissu bila kulazimishwa. Ndio maana Lissu anasema atamlazimisha aachie wengine nao waongoze.
 
ni jambo la maana sana kuwatazama kwa jicho la tatu watu ambao wanakwenda kwenye uchaguzi wakiwa na masharti..

ifahamike wazi kwamba hiyo ni exit strategy ๐Ÿ’
 
Boni Yai ni yai kuanzia akilini hadi haiba
 

View: https://x.com/Jambotv_/status/1868333954480181430?t=3OeLVDXYGom4rga8VYkJBQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ