SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Maccm ndiyo mumekuwa watetezi wakubwa wa Mbowe hii ni ajabu kubwa.kuna haja gani awe nje ya uenyekiti sasa kama ni potential?🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maccm ndiyo mumekuwa watetezi wakubwa wa Mbowe hii ni ajabu kubwa.kuna haja gani awe nje ya uenyekiti sasa kama ni potential?🐒
Lisu Lisu tulikuamini sanass.....kumbe na wewe una price tag ? Nimeumia ...sawa tusubiri ....muda utasema yooote" Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana".
" Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao "
"Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka aondoke, autuachie chama chetu"
Haya ni maneno ya Boniface Jacob, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani na kijana wa karibu wa Mbowe wakati akizindua ofisi ya chama wilaya ya Kinondoni, ambapo Freeman Mbowe alikuwa mgeni rasmi.
Kumbe hili nalo ni kubwa jinga tu." Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana".
" Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao "
"Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka aondoke, autuachie chama chetu"
Haya ni maneno ya Boniface Jacob, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani na kijana wa karibu wa Mbowe wakati akizindua ofisi ya chama wilaya ya Kinondoni, ambapo Freeman Mbowe alikuwa mgeni rasmi.
Maccm mnamuogopa sana huyu Lissu.Lisu Lisu tulikuamini sanass.....kumbe na wewe una price tag ? Nimeumia ...sawa tusubiri ....muda utasema yooote
Mkuu unataka kusema mla nguruwe ni halali kuongoza ila mla punda kuongoza ni haramu nongwa??? Au unataka kumaanisha nini???Mfumo wa serikali ya Tanganyika na Tanzania,ni mbovu, unahitajika mapinduzi na sio Demokrasia,kwa hiyo kutumia demokrasia ,kupitia upinzani ni SAWA na vita!
Mbowe ni komandoo!
Huyo mla punda mnayetaka kumpa chama,ni maneno mengi na ukuchaa kidogo.
Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanganyika! Kumpatia mtu uwenyekiti, ambaye akiona mabomu yamerindima mtaani anakimbilia airport ni hatari na nusuMkuu unataka kusema mla nguruwe ni halali kuongoza ila mla punda kuongoza ni haramu nongwa??? Au unataka kumaanisha nini???
Mkuu hii ni sababu dhaifu mno, ila inadhihirisha chuki yako dhidi ya Lissu.Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanganyika! Kumpatia mtu uwenyekiti, ambaye akiona mabomu yamerindima mtaani anakimbilia airport ni hatari na nusu
Tindu Lissu ni mwanasiasa maarufu nchini Tanzania, lakini kama ilivyo kwa viongozi wengi, anapata pia sifa mbaya na kukosolewa.Mkuu hii ni sababu dhaifu mno, ila inadhihirisha chuki yako dhidi ya Lissu.
Tatizo la TAL hanaga siri. Mkurupukaji zaidi alie endaga zake!Boni ndio amtishe Jabali la kisiasa nchi hii TAL. Sisi wapiga kura mnaotegemea tuandamane licha ya kutokua na kadi ya chama chochote tunamuhitaji Lisu aongoze CDM kama mwenyekiti. Nyie chawa mnaotegemea fadhila za mwenyekiti Ili mpate kula tafadhari muondoke na Mwenyekiti wenu.
Hakuna jambo jipya Mbowe anaweza kufanya ambalo hajafanya miaka 22 iliyopita.
Bon yai na LemaKwaiyo hapo anasemwa nan
Kwa kuwa sio mchaggaLissu afukuzwe, ni msaliti
Hujielewiiiii.......hakuna kijana ccmMaccm mnamuogopa sana huyu Lissu.
Chama kupoteza mwanachama ni pigo. sio jambo la kushabikia" Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana".
" Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao "
"Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa watu, sisi tunajua wewe sio mwenzetu, Chama hiki hakiwezi kufa kwa sababu ya mtu, anaetaka kuondoka aondoke, autuachie chama chetu"
Haya ni maneno ya Boniface Jacob, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani na kijana wa karibu wa Mbowe wakati akizindua ofisi ya chama wilaya ya Kinondoni, ambapo Freeman Mbowe alikuwa mgeni rasmi.
ulitamani wamtetee kibaraka mwenye uraia zaidi ya nchi moja kitu ambacho ni kinyume na sheria, right?🐒Maccm ndiyo mumekuwa watetezi wakubwa wa Mbowe hii ni ajabu kubwa.
Gentleman,Awe mshauri,,Kama ambavyo wakina Mtei na Makani walifanya,,Wangetaka kuendelea yeye angepata wapi nafasi
Chama hiki kinalindwa kwa wivu mkubwa.Hivi jitu unakuaje mjinga hadi unakuwa kama Boni yai,ni shauri ya kula sana au?