Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

Kweli ile nafasi ni kwaajili ya mtu mmoja tu.

Yeyote atakaejaribu kuigusa tuhuma za usaliti zitamuhusu.

Lissu anavuna yale aliyopanda kipindi anawashutumu wenzie kuwa ni wasaliti kisa walikuwa na nia kama yake yakukitaka kiti kikuu.
 
Kisife chenyewe nani? Waendeleze ujinga waone raia wanavyowakataa.
 
Hapo ndo wanapofeli chadema, huwa hawakiishi wanachokihubiri.!!

Wanataka demokrasia kwa veggies ila wao akitokea mtu wa kuwa challenge kidogo hawataki.!!

Hawa wakipewa Nchi wakikosolewa kitawaka, hilo jeshi la polisi litatumwa mchana kweupe kuwapa kipondo raia. 🤣😹
Hata hii JF itafungiwa au kila member ajisajili upya kwa NIDA namba 😹
 
Ndio shida ya kuwa chawa hii, unaongea ujinga wakati jamii inakuheshimu
 
Huyu ni pro-mwamba.
Nothing else.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…