Boniface Jacob: Anayetaka kuondoka aende, CHADEMA haiwezi kufa

Lisu Lisu tulikuamini sanass.....kumbe na wewe una price tag ? Nimeumia ...sawa tusubiri ....muda utasema yooote
 
Kumbe hili nalo ni kubwa jinga tu.
 
Mfumo wa serikali ya Tanganyika na Tanzania,ni mbovu, unahitajika mapinduzi na sio Demokrasia,kwa hiyo kutumia demokrasia ,kupitia upinzani ni SAWA na vita!
Mbowe ni komandoo!

Huyo mla punda anayetaka apewe chama,ni maneno mengi na ukichaa kutokana na milipuko ya risasi mwilini kwake
 
Mfumo wa serikali ya Tanganyika na Tanzania,ni mbovu, unahitajika mapinduzi na sio Demokrasia,kwa hiyo kutumia demokrasia ,kupitia upinzani ni SAWA na vita!
Mbowe ni komandoo!

Huyo mla punda mnayetaka kumpa chama,ni maneno mengi na ukuchaa kidogo.
Mkuu unataka kusema mla nguruwe ni halali kuongoza ila mla punda kuongoza ni haramu nongwa??? Au unataka kumaanisha nini???
 
Mkuu unataka kusema mla nguruwe ni halali kuongoza ila mla punda kuongoza ni haramu nongwa??? Au unataka kumaanisha nini???
Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanganyika! Kumpatia mtu uwenyekiti, ambaye akiona mabomu yamerindima mtaani anakimbilia airport ni hatari na nusu
 
Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanganyika! Kumpatia mtu uwenyekiti, ambaye akiona mabomu yamerindima mtaani anakimbilia airport ni hatari na nusu
Mkuu hii ni sababu dhaifu mno, ila inadhihirisha chuki yako dhidi ya Lissu.
 
Mkuu hii ni sababu dhaifu mno, ila inadhihirisha chuki yako dhidi ya Lissu.
Tindu Lissu ni mwanasiasa maarufu nchini Tanzania, lakini kama ilivyo kwa viongozi wengi, anapata pia sifa mbaya na kukosolewa.

Hapa kuna baadhi ya sifa mbaya zinazohusishwa naye katika siasa za upinzani na serikali:

1. Msimamo Mkali: Lissu ni maarufu kwa msimamo wake mkali dhidi ya serikali. Wakati mwingine, hii inachukuliwa kama kuleta mgawanyiko miongoni mwa wafuasi wa upinzani.

2. Ukosoaji Mkali: Anajulikana kwa kukosoa waziwazi serikali na viongozi wake. Hii inaweza kuonekana kama kutovumiliana na wakati mwingine inaweza kumfanya apoteze ushirikiano na wenzake.

3. Kushiriki Katika Mivutano: Katika historia yake, amekuwa sehemu ya mivutano na migogoro ndani ya vyama vya upinzani, ambayo inaweza kudhihirisha kutokuelewana na wenzake.

4. Madai ya Kutoshirikishwa: Wakati mwingine amekuwa akilaumu kutoshirikishwa katika maamuzi muhimu, jambo ambalo linaweza kuonekana kama udhaifu katika uongozi wake.

5. Sera za Uchochezi: Wakati wa kampeni, baadhi ya kauli zake zimekosolewa kama uchochezi au kutovumiliana, hali ambayo inaweza kuathiri taswira ya upinzani mzima.
 
Tatizo la TAL hanaga siri. Mkurupukaji zaidi alie endaga zake!
 
Chama kupoteza mwanachama ni pigo. sio jambo la kushabikia
 
Awe mshauri,,Kama ambavyo wakina Mtei na Makani walifanya,,Wangetaka kuendelea yeye angepata wapi nafasi
Gentleman,
nadhani anaweza kua mshauri na akawa mwenyekiti vile vile kama alivyo kua mmlezi wa BAWACHA na BAVICHA.

kwani kuna mtu aliwakataza kuendelea au ni aibu kwamba wanachadema walikua hawaongezeki kwa miaka walokua viongozi?

Mbowe anajivunia ongezeko wa wanachama wengi zaidi na ana ujasiri wa kuiongoza Chadema tena na tena kwasababu huenda angependelea kuiacha chadema yenye wanachama wengi zaidi ilivyo sasa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…