Uchaguzi 2020 Boniface Jacob asema kuna watu wametumwa kumteka, aonya wataokotwa Ubungo Mataa

Uchaguzi 2020 Boniface Jacob asema kuna watu wametumwa kumteka, aonya wataokotwa Ubungo Mataa

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na Raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.

Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo Wakija kijinga kama leo mtawaokota hapo Ubungo Mataa.

LEO NIMETOA ONYO LA MWISHO

Boniface.PNG
 
Ccm pesa ya kuwarubuni hao wasimamizi wanatoa wapi?
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi... Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?, Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana. Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.

Nawewe na akili zako unadanganywa kwamba kuna wapiga kura 29 milioni hapa Tanzania si ni propaganda za kuandaa mazingira ya kuiba kura tu hizo. Hivi unafahamu kuwa 48% ya watanzani wana umri chini ya miaka 15 na je ni asilimia ngapi wana umri kati ya miaka 15 na 17 ambao hawawezi kupiga kura. Wanaobakia sana sana watakuwa asilimia 50 wenye umri wa kupiga kura. Sasa kama population ni watu 59 milion na watu 29 milioni ndiyo wamejiandikisha inamaana kwamba kati ya wananchi wote wenye umri wa kupiga kura wamejiandikisha hivi ni kweli mitaani wote wenye umri wa kupiga kura wamejiandikisha. Kama siyo kweli hao watu 29 milioni wametoka wapi. Hiyo idadi ya wapiga kura imepikwa tu. Ni vema watu wakaihoji NEC iweze kutoa majibu hao watu wametoka wapi mbona hawaoneshi uhalisia wa population ya Tanzania ya watu waliofikia umri wa kupiga kura ambao wamejiandikisha maana wako wengi ambao hawajajiandikisha.
 
Back
Top Bottom