Uchaguzi 2020 Boniface Jacob asema kuna watu wametumwa kumteka, aonya wataokotwa Ubungo Mataa

Uchaguzi 2020 Boniface Jacob asema kuna watu wametumwa kumteka, aonya wataokotwa Ubungo Mataa

Huu mwaka unaweza kuwa wa mwisho kwa CCM kuwepo madarakani ingawa tutakumbana na magumu na mazito kabla hilo halijatimia.
Mkuu umewahi kufuga punda na kushuhudia kifo chake? Kiwe cha ugonjwa au ajali?
Au umewahi kutembelea huku kwetu kijijini na kubahatika kushuhudia mti aina ya mbuyu ukianguka?
Ni kuwa kifo cha punda kinaambatana na kutupa mateke ya hatari sana. CCM inakufa kifo cha punda, haya mahangaiko uyaonayo ndio kurusha kwao mateke kabla ya kifo. Au mbuyu ukianguka una kishindo kikuu msituni na anguko lake ni ajali kwa miti midogo.
Ona magu na polepole wanavyo Fanya usanii wa kitoto eti wanazindua reli kisha kupigiana simu stesheni! Hivi watu wa Arusha wakuwahadaa kwa utoto huo? Mbaya huyo ni presidaa na haambiwi mzee acha ushamba unaaibisha hata nchi.
HILO NI ANGUKO LA MBUYU AU KIFO CHA PUNDA
 
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.

Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo Wakija kijinga kama leo mtawaokota hapo Ubungo Mataa.

LEO NIMETOA ONYO LA MWISHO

Kumbe wasiojulikana bado wapo
 
Chama kikikosa agenda kinakuja na vihoja
Kama kuna mtu anakutishia maisha unamchapa kwanza kisha ndio unakuja kutoa ushuhuda
Lakini wanacho fanya Chadema ni utopolo
 
Kwanini upinzani ni watu wa maneno matupu?Kwanini asingeacha funzo kwenye hilo tukio??
 
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.

Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo Wakija kijinga kama leo mtawaokota hapo Ubungo Mataa.

LEO NIMETOA ONYO LA MWISHO

Uyo na icho kitambi chake watu wakitaka kumkamata si dakika kumi tu aache kujitakatisha

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Boniface, au Sura ya Mifupa, ni mwanasiasa muongo na Chokora.

Mbona hakuwaripoti polisi, anasema anawajua, si awataje ili wajulikane na wa aibike.

Kuna wakati hata Chadema hujijengea vituko na kuwasingizia Polisi na watu wasio husika.

Hizi ni siasa za vichochoroni zimepitwa na wakati.
 
Haa haa Mbowe alianguka baaada ya kulewa chakari halafu akasingizia eti amevamiwa .na mazuzu wa chadema nao wakadakia
Kama lile zuzu lenu saivi linajinyeanyea ikulu na linasupport ushoga kwa kumzuia makonda kupambana nao ili lipewe hela na mabeberu za misaada liende kwenye TV liwahadae mapunga kama wewe.
 
Huyo Boniface, au Sura ya Mifupa, ni mwanasiasa muongo na Chokora.

Mbona hakuwaripoti polisi, anasema anawajua, si awataje ili wajulikane na wa aibike.

Kuna wakati hata Chadema hujijengea vituko na kuwasingizia Polisi na watu wasio husika.

Hizi ni siasa za vichochoroni zimepitwa na wakati.
Wewe umejuaje kama hajaenda polis
 
Wewe umejuaje kama hajaenda polis
Hakutuambia, na katoa onyo kali. Unapolipeleka jambo kwenye sheria, hutoi onyo.

Na pia amesema anawajua hao wanaomuandama, Tusisahau kumuonya mtu kwa kumuambia utamtendea mabaya au utamuumiza ni kosa la jinai, leo mmoja wao akiumizwa na watu wengine akambambikiza Boni , inaweza mletea shida. Kiongozi kama huyu anastahili kutumia busara na kutoropoka
 
Awamwage tu ma vi washamba wa siasa hao. Waoga wa sanduku la kura.
 
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.

Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo Wakija kijinga kama leo mtawaokota hapo Ubungo Mataa.

LEO NIMETOA ONYO LA MWISHO

hahahhahahahaah sio mchezo
 
Kujitoa akili ni kazi ngumu Sana ,, hivi hata yanayoendelea huyaoni? Acha kukaa kwa shemeji
Popoma wewe,kisa wewe unakaa kwa shemeji yako basi unahisi kila mtuni size yako!
Shwain,una akili za kulengea shimo la choo tu!
 
Back
Top Bottom