Uchaguzi 2020 Boniface Jacob asema kuna watu wametumwa kumteka, aonya wataokotwa Ubungo Mataa

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na Raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo.

Kwa kuwa nawafahamu leo nimewasamehe bure ila kuna siku hapa Ubungo Wakija kijinga kama leo mtawaokota hapo Ubungo Mataa.

LEO NIMETOA ONYO LA MWISHO

 
Ccm pesa ya kuwarubuni hao wasimamizi wanatoa wapi?
 

Nawewe na akili zako unadanganywa kwamba kuna wapiga kura 29 milioni hapa Tanzania si ni propaganda za kuandaa mazingira ya kuiba kura tu hizo. Hivi unafahamu kuwa 48% ya watanzani wana umri chini ya miaka 15 na je ni asilimia ngapi wana umri kati ya miaka 15 na 17 ambao hawawezi kupiga kura. Wanaobakia sana sana watakuwa asilimia 50 wenye umri wa kupiga kura. Sasa kama population ni watu 59 milion na watu 29 milioni ndiyo wamejiandikisha inamaana kwamba kati ya wananchi wote wenye umri wa kupiga kura wamejiandikisha hivi ni kweli mitaani wote wenye umri wa kupiga kura wamejiandikisha. Kama siyo kweli hao watu 29 milioni wametoka wapi. Hiyo idadi ya wapiga kura imepikwa tu. Ni vema watu wakaihoji NEC iweze kutoa majibu hao watu wametoka wapi mbona hawaoneshi uhalisia wa population ya Tanzania ya watu waliofikia umri wa kupiga kura ambao wamejiandikisha maana wako wengi ambao hawajajiandikisha.
 
Hao jamaa mliowatuma kunitekana, kupora fomu Mnawaonea Bure, mimi siyo wa kutekwa na raia wasiopitia hata Mafunzo ya Mgambo...
Who is behind all this stupidity?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…