Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Ally kumbe wewe ni Nyoka namna hii. Mara Oktoba hatoboi Leo uko pamoja nae 😂😂Walupishwe mali zote zilizopotea. Mabilioni ya pesa yamepotea kwasababu ya MAANDAMANO uchwara
Ally kumbe wewe ni Nyoka namna hii. Mara Oktoba hatoboi Leo uko pamoja nae 😂😂Walupishwe mali zote zilizopotea. Mabilioni ya pesa yamepotea kwasababu ya MAANDAMANO uchwara
Mimi nilikuwa mpinzani damudamu.Ally kumbe wewe ni Nyoka namna hii. Mara Oktoba hatoboi Leo uko pamoja nae 😂😂
Safi sana!! Ule ushenzi si wakufumbia macho!!Naona polisi wanapitisha moto karibu na tank la petroli. Ok.
Hata hao watakamatwa na maandamano mengine yakifanyika wataanza kukamata akina January Makamba, Kigwangala, Ummy na wengine wote wasiomkubali bi Mwenda.
Yakifanyika maandamano mengine tena wataanza kukamatana sasa policcm na wanajeshi.
Huyu bibi form four failure hajui ashike kipi kwa sasa.Na tuseme tu ukweli walio hamasisha maandamano ni Jeshi. Walio kuepo wakati maseje seke yanaanza wanajua ukweli jamaa walikua na mzuka sana watu wakikiwasha 🤣
Na Mbowe anaona haya yote ila hata kuongea haongeiThe mission is to eliminate CHADEMA, hata asiyekuwa na akili anaona na kuelewa.