Boniface Jacob (Boni Yai): Salamu kutoka Segerea (Ujambazini)

Duuuh, Really? Hii sidhani kama inatokea, ipo kinyume na Sheria za Nchi, Sheria ya Haki za Binadamu, Sheria za Mungu na Sheria ya Ustawi wa jamii

Ndio nalisikia hivi sasa, labda kama ndio inaanza na haijulikani katika uongozi wa eneo husika kwsbb huyo Mkuu wa Gereza angeshashughulikiwa.
 
Kamilisha hii stori yote
 
Wakati unaangakia
Special wing” ni sehemu maalum katika magereza kwa ajili ya wafungwa wenye mahitaji maalum au wale ambao wanahitaji ulinzi wa ziada,, hiki kitu nina experience nacho aisee, Boniyai kanikumbusha nyuma sana 😬
wakati unaangalia muvi za damme
 
Dah mbona mnatuchanganya sasa mara jela kubaya , na wewe unahadithia story ya boni yai akiwa jela kama yalikuwa maisha mazuri.
Any way sidanganyiki na hiyo story ya boni yai ,
Jela ingawaje namshukuru Mungu sijawahi kuishi hata kwa siku moja naendelea kumuomba Mungu aniepushj na kwenda sehemu hiyo.
Pole sana kamanda boni yai kwa kupelekwa huko jela kimizengwezengwe tu na kwa uonevu .
Inshalah Mwenyezi Muungu awalipe kwa ubaya waliokufanyia kadri atakavyoona inafaa
 
Naunga mkono hoja hapo mkuu wa gereza na timu yake yote ingekula kwao ,ulawiti ni kosa kubwa sana jela ila wakati mwingine lisemwalo lipo
 
Sasa nimegundua kwanini Ruge alikomaa na kung'ang'ania kubaki mahabusu ni kwasababu alikuwa special wing akila good time. Angekuwa ujambazini angeshakufa.
 
Iendel
 
Jera ni pabaya, sikuwahi kwenda ila sikuwahi kusikia mtu anapasifia kama ilivyo kwa post hii, nilichogundua ni kuwa gerezani kuna madaraja (classes) ya wafungwa hivyo kuna ambao hawanyanyasiki ila wanateswa na kukosekana kwa uhuru. Na kuna akina pangu pakavu ndiyo wanaipata ile suruba tunayoifahamu tulio wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…