Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel
Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM
Je, Bony kakimbia chama ama alikuwa kwenye Biashara zake akisaka tenda ya kuuza mayai kwenye mkutano wa CCM tarehe 5
Hebu tusubiri tuone