Tetesi: Boniface Jacob (Boni Yai) yupo Dodoma, kuna nini?

Tetesi: Boniface Jacob (Boni Yai) yupo Dodoma, kuna nini?

Update za leo Nikiwa maeneo haya nimemuona pia
Joseph Mbilinyi Eziekel Wenje na Bonny Yai wameingia tena hapa Dodoma Hotel na Harrier Nyeupe ntawajuza nikipata angle nzuri ntawapa na picha ili nisishitukiwe
 
Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel

Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM

Je, Bony kakimbia chama ama alikuwa kwenye Biashara zake akisaka tenda ya kuuza mayai kwenye mkutano wa CCM tarehe 5

Hebu tusubiri tuone
Wanasemaga kila mtu ana bei yake....
 
Kuna vijana roadmap yao kwenye siasa ni kupitia CDM, Juliana Shonza na wenzake wote watumike kama reference.
 
Hata mbowe akiamua kukimbilia ccm akimbie tu, wanamageuzi wa kweli wapo na Mungu atawasaidia kuleta mageuzi ya siasa za nchi vema tu. CHADEMA isihofu hao wavumamo watakapoondoka haitatikisika, itapata wanachama wengi wasio na mbwembwe kama kina bon yai and alike
 
Dah Kama Boni Yai anenda CCM, atakua katuangusha sana sie tuna kubali upande wao ktk Siasa
 
Mchango wa Bon bado unahitajika Chadema na ana pratifom kubwa ,ila kama ataamua kwenda CCM atakuwa amejimaliza ki siasa angali akiwa bado kijana .
Fafanua mkuu. Kwanini ajimalize kisiasa akikiacha chadema na kwenda ccm chama chenye dola?
 
Fafanua mkuu. Kwanini ajimalize kisiasa akikiacha chadema na kwenda ccm chama chenye dola?
Akili za wabongo hizo.Hajui kama siasa ni kazi kama kazi zingine na kila mtu ana maisha yake na mipango yake ili mradi maisha yake yaende.Sisi wengine ni wapiga porojo tu ambao hatuna msaada wowote.
 
Akili za wabongo hizo.Hajui kama siasa ni kazi kama kazi zingine na kila mtu ana maisha yake na mipango yake ili mradi maisha yake yaende.Sisi wengine ni wapiga porojo tu ambao hatuna msaada wowote.
Sijui kwanini watu huwa wanasahau kuwa siasa ni maslahi.
 
Ushaambiwa tetesi means ni uzushi.
Tetesi ni ipi? Boni yai kujiunga na ccm february 5? Maana mleta taarifa kasema kamuona Dodoma hotel akiwa na watu wawili hawajui wakiwa pamoja na masidizi wa Nchimbi, kuna tetesi tena hapo? Au huyu Nchimbi fundi viatu kwenye kona hapo karibu na Dodoma Hoteli?
 
Hapo ndio tunajua walikuwa na maslahi na uongozi uliopita.
 
CHADEMA NUSU MKATE hao, hawajawahi kuwa wapinzani wa ukweli. Ujio wa Lissu umetufumbua macho.
 
Mm niko Songea kuna nn?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Duuh!
Boni hukuingia CHADEMA akiwa na mwili ule. Aliingia akiwa kijana mdogo mwili wa kawaida wa kikakamavu akitokea chuo kikuu.
Alikuwa kati ya vijana muhimu sekta ya ulinzi ndani ya chama. Alikipambania chama hasa. Alimpambania Mnyika kule Ubungo kwa kulinda kura zake, na yeye akapata udiwani baadae.
Shida ilianza alipopata umeya pesa tamu, .....
Siasa bana, huyu si walikuwa wanasema ni darasa la saba hana hata uwezo wa kutoa ushauri.
 
Wewe na yehe tofauti yenu ni ipi ? Mbona wewe upo Kwa sababu ya mboga ya Amsterdam?
akili ndogo mbeLe ya akili kubwa mtapata tabu ,kazi yakujifanyaga wasaidizi kumbe mnaliwa hii ,sio zuri mana usaidizi kilikuwa kichaka
 
Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel

Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM

Je, Bony kakimbia chama ama alikuwa kwenye Biashara zake akisaka tenda ya kuuza mayai kwenye mkutano wa CCM tarehe 5

Hebu tusubiri tuone
Hata akihama hana impact tena kashajiharibia sn
 
Back
Top Bottom