Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
- Thread starter
-
- #21
Wanasemaga kila mtu ana bei yake....Leo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel
Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM
Je, Bony kakimbia chama ama alikuwa kwenye Biashara zake akisaka tenda ya kuuza mayai kwenye mkutano wa CCM tarehe 5
Hebu tusubiri tuone
Fafanua mkuu. Kwanini ajimalize kisiasa akikiacha chadema na kwenda ccm chama chenye dola?Mchango wa Bon bado unahitajika Chadema na ana pratifom kubwa ,ila kama ataamua kwenda CCM atakuwa amejimaliza ki siasa angali akiwa bado kijana .
Kwamba wanaandaliwa kuingizwa mnada wa Feb 5?Wanasemaga kila mtu ana bei yake....
Akili za wabongo hizo.Hajui kama siasa ni kazi kama kazi zingine na kila mtu ana maisha yake na mipango yake ili mradi maisha yake yaende.Sisi wengine ni wapiga porojo tu ambao hatuna msaada wowote.Fafanua mkuu. Kwanini ajimalize kisiasa akikiacha chadema na kwenda ccm chama chenye dola?
Sijui kwanini watu huwa wanasahau kuwa siasa ni maslahi.Akili za wabongo hizo.Hajui kama siasa ni kazi kama kazi zingine na kila mtu ana maisha yake na mipango yake ili mradi maisha yake yaende.Sisi wengine ni wapiga porojo tu ambao hatuna msaada wowote.
Tetesi ni ipi? Boni yai kujiunga na ccm february 5? Maana mleta taarifa kasema kamuona Dodoma hotel akiwa na watu wawili hawajui wakiwa pamoja na masidizi wa Nchimbi, kuna tetesi tena hapo? Au huyu Nchimbi fundi viatu kwenye kona hapo karibu na Dodoma Hoteli?Ushaambiwa tetesi means ni uzushi.
Wewe na yehe tofauti yenu ni ipi ? Mbona wewe upo Kwa sababu ya mboga ya Amsterdam?usoni na lile tumbo ,hakuwa mtu sahihi kuwa CHADEMA ..... unakuwa CHADEMA kisa mtu ....au ulikuwa mlo wa chairman
Siasa bana, huyu si walikuwa wanasema ni darasa la saba hana hata uwezo wa kutoa ushauri.Duuh!
Boni hukuingia CHADEMA akiwa na mwili ule. Aliingia akiwa kijana mdogo mwili wa kawaida wa kikakamavu akitokea chuo kikuu.
Alikuwa kati ya vijana muhimu sekta ya ulinzi ndani ya chama. Alikipambania chama hasa. Alimpambania Mnyika kule Ubungo kwa kulinda kura zake, na yeye akapata udiwani baadae.
Shida ilianza alipopata umeya pesa tamu, .....
akili ndogo mbeLe ya akili kubwa mtapata tabu ,kazi yakujifanyaga wasaidizi kumbe mnaliwa hii ,sio zuri mana usaidizi kilikuwa kichakaWewe na yehe tofauti yenu ni ipi ? Mbona wewe upo Kwa sababu ya mboga ya Amsterdam?
Hata akihama hana impact tena kashajiharibia snLeo nikiwa maeneo ya Dodoma Hotel nimemshuhudia Mwanasiasa Machachari Boniphace Jacob maarafu kama Boni Yai akiwa viunga vya maeneo ya Dodoma hotel
Bony aliongozana na washkaji wawili ambao siwafahamu majina pia wakiwa na Msaidizi wa Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM
Je, Bony kakimbia chama ama alikuwa kwenye Biashara zake akisaka tenda ya kuuza mayai kwenye mkutano wa CCM tarehe 5
Hebu tusubiri tuone