Tetesi: Boniface Jacob (Boni Yai) yupo Dodoma, kuna nini?

Huyo jamaa na tumbo lake kama pipa hana lolote!
 
akili ndogo mbeLe ya akili kubwa mtapata tabu ,kazi yakujifanyaga wasaidizi kumbe mnaliwa hii ,sio zuri mana usaidizi kilikuwa kichaka
Jibu swali,wewe na yeye tofauti yenu na wewe Iko wapi? Wewe unamtumilia chakula ya Amsterdam na yeye anamtumikia Mwamba 🀣🀣

Hiyo akili Yako kubwa ni ipi kiasi kwamba hupati tabu?
 
KWA shauku yako kama ya kuonekana unasema ukweli ungeeacha hata kupiga picha? Ili uonekane una habari ya ukweli, siamini ulichoandika maana nawajua CCM
 
Kwa hiyo mmoja wa waasisi wa chama(Mwamba) ni masalia a.k.a masaliti mramba asali.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Jibu swali,wewe na yeye tofauti yenu na wewe Iko wapi? Wewe unamtumilia chakula ya Amsterdam na yeye anamtumikia Mwamba 🀣🀣

Hiyo akili Yako kubwa ni ipi kiasi kwamba hupati tabu?
dogo tofauti kubwa Mimi naamini katika Imani ya chama (ideology),falsafa nasio mtu kwenye chama nimefanya makubwa sana kwenye chama ckufanya kwa ajili ya mtu
 
Hana impact yoyote....na ccm ndio wanaweza kumpokea ila ndo akapotea Zaid...watamtumia Kwa mda..msigwa Yuko wapi na matusi yake...
 
Daaaaaaa kidogo nidakwe umepita msako mkali ila nashukuru nimepona kesho ntawapa update Zaid
 
Huenda akaambulia u-DC
 
Umemuona Boni Yai tu, tarehe 5 tunaenda kuizika rasmi chadomo. Tupo Dodoma hapa kuwafundisha siasa. Mmeingia kwenye mifumo.
 
Update
Leo hapa Dodoma Hotel wamefika Benson Kigaila Salum Mwalimu Mungai na wengine kama wa nne kutoka Chadema sema siwafahamu majina yao
Kuhusu picha sasa wameweka mtego mkali Sana wanasaka anaetoa Taarifa humu wahudumu na boda wote tunapigwa msako mkali hivo ni ngumu kupata picha
 
Ni mnyakyusa huyu jamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…