Lior
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 1,617
- 3,697
Any evidenceWanatusumbua bure huku wakijua fika wao ndio wahusika wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any evidenceWanatusumbua bure huku wakijua fika wao ndio wahusika wakuu
Nilijua hawa wahalifu wa Samia watajaribu kugeuzia cdm kibao ili kujisafishaMayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni
Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Nadhani bado ni tetesi 🐼
Kitengo huyo.Boni taarifa zote anakuwa wa kwanza kuzipata na kuzitoa.
Peleka huko ujinga wako, labda ulimuona ukiwa tumboni kwenye mayaiNilimuona wakati nampokea mjomba wangu Kanali Kandeo wakitoka Vitani Uganda pale Stesheni 😂😂😂
wamechelewa albadir imeshasomwaNilijua hawa wahalifu wa Samia watajaribu kug'euzia cdm kibao ili kujisafisha
Kutokana na matukio mabaya kabisa yanayoendelea kutokea hapa nchini, Vituo vya Polisi vimekuwa Siyo sehemu salama Tena kwa sasa.. Uwezekano wa kwenda ukiwa hai, na mzima ni mkubwa, lakini uwezekano wa kurudi ukiwa maiti ni mkubwa zaidi.Mayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni
Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Nadhani bado ni tetesi 🐼
Unamaanisha wanaweza kumuua mtu waliempa wito na ushahidi upo?Kutokana na matukio mabaya kabisa yanayoendelea kutokea hapa nchini, Vituo vya Polisi vimekuwa Siyo sehemu salama Tena.. Uwezekano wa kwenda ukiwa hai, na mzima ni mkubwa, lakini uwezekano wa kurudi ukiwa maiti ni mkubwa zaidi.
Namaanisha mtu anayeaminika kwa kiasi kikubwa na kufika alipo anakuwa amesaidiwa kwa kiasi kikubwa na yeye. Umenielewa au bado?Ulitaka awe karibu na nani?
OkeyNamaanisha mtu anayeaminika kwa kiasi kikubwa na kufika alipo anakuwa amesaidiwa kwa kiasi kikubwa na yeye. Umenielewa au bado?
Mtaeleza tu mda siyo mrefuKwani Boni yai ni kiongozi wa CHADEMA?
Kwa moto unaowaka, hiyo mbinu watakuwa wameiacha kwanza ili kupima upepo.Kibaya kubebwa bila taarifa
Afafhali umeelewaOkey
Hiyo timu ya uchunguzi isisahau kumhoji Samia, yeye pia ni mhusika kwa namna moja ama nyingine kwa namna alivyoweza kumteua Makonda aliyekuwa mtekaji mkuu wakati wa MagufuliWanatusumbua bure huku wakijua fika wao ndio wahusika wakuu
Natamani ianze kumdhuru huyu tumbili Peter Msigwawamechelewa albadir imeshasomwa
Ni Tanzania tu ambapo uhalifu wa mauwaji ukitokea badala polisi kutafuta mhalifu wanatafuta uanachama wa wa mhalifu. Yani badala ya kufanya forensic investigation wao wanakazana kuulizana ni Chadema au ccm ? Shame on you all whom entertaining that kind of nonsense discussion.Mayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni
Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Nadhani bado ni tetesi 🐼
Zamani alikuwa bodyguard wa Mwenyekiti Mbowe 🐼