Pre GE2025 Boniface Jacob: Hata Nikishindwa Uchaguzi sitoenda CCM na kubwatuka bwatuka kama Mbwa

Pre GE2025 Boniface Jacob: Hata Nikishindwa Uchaguzi sitoenda CCM na kubwatuka bwatuka kama Mbwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.

Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii njema ya umoja na mshikamano kati ya wanachama na viongozi kushikama huku na unati huu tafsiri yake kwamba mmetuma ujumbe kuwa tunaanza upya, tunazika na kumaliza tofauti zetu zote".

Kama kura hazitatosha siwezi kubwatuka na kulalamika wala kwenda CCM, kwa sababu naamini kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani


 
Mgombea wa Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa Chadema kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia ccm na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.

Toa Maoni yako

View attachment 3088264
Watu kama hawa sasa ndio Chadema damu!, wana misimamo imara isiyoyumba, hawa sio kama yale mazagazaga na makorokocho!.
P
 
Mgombea wa Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa Chadema kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia ccm na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.

Toa Maoni yako

View attachment 3088264
Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.📌🔨
 
kuna mmoja alisema akihama tumle nyama, sikuhizi anasema sio yeye ni jini
 
Kwani watu wanahama kwa sababu ya kura kutokutosha? Watu wanahama kwa sababu ya rushwa na mizengwe kwenye uchaguzi.
Kama yuko kundi la mbowe ahame kwenda wapi wakati ndilo kundi lilishika jambia kwenye mpini? Ni haki yake kusema hivyo.
 
Watu kawa hawa sasa ndio Chadema damu!, sio yale mazagazaga na makorokocho!.
P
Haya anayoyafanya Msigwa, it is most likely ni mke wa mtu, mwanamume mzima huwezi kuimba mipasho kiasi hicho kama wanawake! Nadhani ameota kile kitu alichonacho cha Peneza! hormonal shift ni za kike nao, if at all genetics/biology allows this type of mutation!
 
Back
Top Bottom