Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Asipoelewa hapa basi akafanyiwe CT SCANAna maana hawezi kuondoka Chadema kwa sababu ya kushindwa uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipoelewa hapa basi akafanyiwe CT SCANAna maana hawezi kuondoka Chadema kwa sababu ya kushindwa uchaguzi.
Asipoelewa hapa basi akafanyiwe CT SCAN
Kitambi chote hicho 😀 😀 😀
Mtu asiyeweza kutunza mwili wake, ataaminikaje?
Kama ameshindwa tu kutunza mwili wake.
Huyu jamaa ni Liability na siyo Asset
Sasa mambo ya mtaani kwenu unataka niyaelezee mimi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Acha kutumia kichwa kama mfuniko wa shingoKuna imani huku uswahilini kuwa matiti makubwa na yaliyolala ni kwa sababu ya kuruhusu mikono mingi kuyachezea, hebu tuambie kama hii ni kweli na kwa nini umeruhusu iwe hivyo!!??
Kuna mambo walikafanyia hadi kufikia muafaka wa kuhama, aliambiwa afute na kutii kila atakaloambiwa afanyanye vinginevyo....................... . Siyo akili zake ana majuto mengi sana moyoni mwake japo alipewa fungu nono sana lakini hana amani ya moyo yule pale alipo ni mateka.Kale kazee kama kamelishwa GONGO
Mkuu, mbona Lissu aliiweka wazi ile kauli yake kwenye kile kipindi cha DAKIKA 45."Chadema siyo mama yangu." Alisikika yule mwingine.
Kwamba huyu yeye anasema Chadema ni mama yake?
Au kumbe yeye anasimamia nini?
Mkuu, mbona Lissu aliiweka wazi ile kauli yake kwenye kile kipindi cha DAKIKA 45.
Yananihusu sana. Nimeijenga chadema kwa hali na mali; nyie endeleeni tu kuibomoa na hizo rushwa zenu 😏😏Hayakuhusu
Sasa mambo ya mtaani kwenu unataka niyaelezee mimi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Acha kutumia kichwa kama mfuniko wa shingo
Unene ni ugonjwa unaotokana na kutokujijali na kula ovyo bila mpangilio.Sasa na wewe imani yako kuwa mtu akiwa mnene maana yake kashindwa kucontrol mwili wake ndio unataka kutuaminisha sote!!??
Muombe Mungu wa Mbinguni akusaidie ujitahidi kutoonyesha ukilaza wako hadharani.