Pre GE2025 Boniface Jacob: Hata Nikishindwa Uchaguzi sitoenda CCM na kubwatuka bwatuka kama Mbwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
VITENDO VYA UTEKAJI NA WATOTO KUPOTEA VINATUKWAZA MNO WATANZANI.

HILI NI TATIZO KUBWA SANA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
 
Wengi sana walisema hivi, Nakumbusha tu
 
Mmh! Don't trust a politician. Maneno kama haya yamesemwa sana na Msigwa lkn leo hii yuko ccm.
 
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.

Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii njema ya umoja na mshikamano kati ya wanachama na viongozi kushikama huku na unati huu tafsiri yake kwamba mmetuma ujumbe kuwa tunaanza upya, tunazika na kumaliza tofauti zetu zote".

Kama kura hazitatosha siwezi kubwatuka na kulalamika wala kwenda CCM, kwa sababu naamini kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Ana maana Chadema ni mama yake liwalo liwe?
 
Bora angekaa kimya!
 
Alishindwa ataenda CCM ila atakuwa habwatuki kama mbwa!
 
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.

Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii njema ya umoja na mshikamano kati ya wanachama na viongozi kushikama huku na unati huu tafsiri yake kwamba mmetuma ujumbe kuwa tunaanza upya, tunazika na kumaliza tofauti zetu zote".

Kama kura hazitatosha siwezi kubwatuka na kulalamika wala kwenda CCM, kwa sababu naamini kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Kitambi chote hicho 😀 😀 😀

Mtu asiyeweza kutunza mwili wake, ataaminikaje?
Kama ameshindwa tu kutunza mwili wake.

Huyu jamaa ni Liability na siyo Asset
 
Kutofautiana na aliyekuwa rafiki yako na ukaanza kuyesema yenu ya sirini ni utovu wa maadili. Mtu huyo hata akiondoka hata hapo alipo sasa akiwa kwingine ataendelea kusema tena ya pale, hivyo Mtu wa aina hiyo si wa kumfurahia bali ni kuwa na tahadhari kwake kwani ndio tabia yake kusema ya huko atokako.
 
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.

Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii njema ya umoja na mshikamano kati ya wanachama na viongozi kushikama huku na unati huu tafsiri yake kwamba mmetuma ujumbe kuwa tunaanza upya, tunazika na kumaliza tofauti zetu zote".

Kama kura hazitatosha siwezi kubwatuka na kulalamika wala kwenda CCM, kwa sababu naamini kila mtu anaweza kuwa kiongozi.

Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

kwani hayo ni mapya na Mchungaji Msigwa hakusema hivyo hivyo?

na kule nyuma ya camera alipojiapiza kwamba lazima ashinde uchaguzi huo kwasababu amekichangia pesa nyingi sana chama hicho, vinginevyo kuna vyama vya siasa vingi tu humu nchini, alimaanisha nini hasa?

ni Muhimu sana kutafakari kauli hizi za kisiasa, ni nzito na zina ujumbe wa maana sana ndani yake kitaalamu 🐒
 
Back
Top Bottom