Tetesi: Boniface Jacob kugombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA 2025

Tetesi: Boniface Jacob kugombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA 2025

Kama inavyojulikana kwa Utamaduni wa CCM mgombea Urais wa JMT atakuwa Rais Samia na fomu itakuwa Moja

Kwa upande wa chama kikuu cha Upinzani Chadema inadaiwa atasimama Meya mstaafu wa Manispaa ya Ubungo mh Boniface Jacob

Hata hivyo haisemwi kama Tundu Antipas Lisu ana Mpango gani mwaka huo 2025

Ilitegemewa Zitto Kabwe wa ACT wazalendo naye angegombea lakini kwa sasa chama chake kinaunda Serikali kwa ubia na CCM hivyo Utamaduni wa chama tawala wa fomu Moja unawahusu na Wao

Jumaa kareem!
Mods kuacha threads za kizushi kama huu ni kulidhalilisha jukwaa. Kila mtu akilewa K vant zake anatupia uchafu humu haikubaliki
 
Pale kichaa anapocheka na wanaocheka. Hudhani ndo Kawa mzima. Kuwini kisaikolojia ndo nini mkuu.
Tayari na wewe pia nimeshakuwini kisaikolojia.

Inflicting pain and annoyance without physical altercation
 
Nchi ya magufuli hata Hadija Kopa haimshindi hii
 
Back
Top Bottom