Tetesi: Boniface Jacob kugombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA 2025

Hahahaha impossible is nothing lakini Hana maturity ya urais yule, urais ni taasisi mjue
Acha uongo Urais siyo taasisi bali ni mtu, hata Kikwete aliwahi sema hana ubia na mtu ye yote katika Urais wake.

Wote waliopo ofisi ya Rais ni wapambe wake ambao ama amewateua yeye mwenyewe au wameteuliwa na wapambe wake!
 
We jamaa unaokoteza vi habari uchwara unafanya utani huku.
 
Ndio wale vijana wawili walikuwa wanasema katika tv,wakihojiwa na mwandishi wa habari. Wanasema,mgombea wa ccm hafai kuwa rais. Anayefaa ni yule,anamgeukia mwenzake,anamuuliza yule jamaa anaitwa nani vile,anaambiwa Wilbrod Slaa. Anasema,ndio,huyo ndie anafaa kuwa rais.
Ndio sawa na wewe unayesema Boniface nani sijui anafaa kuwa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…