Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
hMahenge Ulanga ni moja ya eneo ambalo mkao wake "plateaus" unaovutia sana ila mlima nyani unatisha sana
Kamuulize atakujibuHuyo mama kahusikaje hapo?
Walau yeye anazika je hiyo miili inayookotwa au wanaonusurika walikutwa Mikoa mwingine inakuaje.Una uhakika samia anahusika na mauaji?
Kuna Mganga kazika watu kumi singida
Na yeye ni polisi?
Una elimu yoyote ya ukachero?..polisi waliamua tu kukaa na miili iliyoharibika bila sababu?Kwani katika hili, kama una akili timamu, mtuhumiwa wa kwanza ni nani? Kwa nini upewe taarifa, ukachukue miili halafu ukae kimya wakati kuna raarifa za watu kupotea? Kwa nini wasijulishwe ndugu wa waliotekwa ili wakaitazame miili hiyo kuweza kujiridhisha kuwa si miongoni mwa waliotekwa?
Ooooh!...Ni mahenge iliyo njia ya kwenda Iringa. sio hiyo na Morogoro
h
Ccm inafuga machoko ndio maana nchi aiendi ukiwemo wewe choko uliyeolewa enzi za makonda akiwa mwenezi wenu hapo lumumba.Choko wewe unalialia nini unataka kuolewa ndoa ya pili au
Nyie mabwanwa ya lumumba taften kazi za kifanya kufikia 2025.Kumbe una basha?
Kumuita brother huyo uliyemnukuu ni matumizi mabaya ya ilo neno.kwasababu inaonekana hana akili ata sumni.Majambazi wakiwa wanatuvamia na kutuua, uporaji ukishamili huwa analaumiwa nani? Simba na Yanga? Au Diamond?
Come on brother you are better than this, give it another think. This time take a time.
Na wewe umeaminishwa Kuna kuingia Mbinguni? πππππHata kina Mpango na ukatoliki wote, kimya!
Yote madaraka tu?
Ama kweli kuingia mbinguni ni heri ya ngamia ...
Serikali inatumikia Wananchi wanaotik na kuheshimu order,wale wengine Dunia nzima Huwa hawaachwi,so usijitoe ufahamuUpuuzi unao wewe unayedhani serikali ipo kwaajili ya kujipigia selfie na sio kumtimikia mwananchi.
Na wewe umeaminishwa Kuna kuingia Mbinguni? πππππ
NimejiaminishaKwani na wewe umeaninishwa hakuna kuingia mbinguni? πππππ
Nimejiaminisha