Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

Una uhakika samia anahusika na mauaji?

Kuna Mganga kazika watu kumi singida

Na yeye ni polisi?
Walau yeye anazika je hiyo miili inayookotwa au wanaonusurika walikutwa Mikoa mwingine inakuaje.

Story mganga wa kienyeji watu 8 wanatoka eneo au vijiji vya karibu au walienda kufuata huduma ya mganga.

Hao tunazungumzia ni watu wanatekwa na kupoteza. Iweje wahamiaji haramu wanashikwa kirahisi lakini watekaji na watekaji hawakamatwi?

Kama unataka argument basi uje na issue sio petty issue
 
Kwani katika hili, kama una akili timamu, mtuhumiwa wa kwanza ni nani? Kwa nini upewe taarifa, ukachukue miili halafu ukae kimya wakati kuna raarifa za watu kupotea? Kwa nini wasijulishwe ndugu wa waliotekwa ili wakaitazame miili hiyo kuweza kujiridhisha kuwa si miongoni mwa waliotekwa?
Una elimu yoyote ya ukachero?..polisi waliamua tu kukaa na miili iliyoharibika bila sababu?
 
Majambazi wakiwa wanatuvamia na kutuua, uporaji ukishamili huwa analaumiwa nani? Simba na Yanga? Au Diamond?

Come on brother you are better than this, give it another think. This time take a time.
Kumuita brother huyo uliyemnukuu ni matumizi mabaya ya ilo neno.kwasababu inaonekana hana akili ata sumni.
 
Upuuzi unao wewe unayedhani serikali ipo kwaajili ya kujipigia selfie na sio kumtimikia mwananchi.
Serikali inatumikia Wananchi wanaotik na kuheshimu order,wale wengine Dunia nzima Huwa hawaachwi,so usijitoe ufahamu
 
Back
Top Bottom