Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Wanajisumbua bure, biashara ya ukahaba iko palepale tena inazidi kushamiri kwa mtindo mpya na kwa kasi ya ajabu. Jana nilikuwa nipo gesti moja niliishia kushangaa na kucheka kwa mshangao nilichoona.

Vyumba vilikuwa vitupu ndani ya muda mfupi vyumba kumi na tano vikajaa watu wa kunyanduana chapchap huku wengene wakitokea mlango wa nyuma kuepuka kuonekana wazi.

Cha ajabu zaidi wanawake wa rika tofauti mabinti, wamama watu wazima waliingia gesti kunyanduliwa fasta fasta wakatoka wakaingia wengine. Nilijishangaa mwenyewe mbona mi sina wa kunyandua wakati wenzangu wanao tena mbilimbili, wanawapa hela kiasi gani ambazo mimi sina, au mimi siwavutii ?

Ukahaba upo na utaendelea kufanywa kwa style tofauti hata hao wanawasaka wawakamate hawatawapata.

Makahaba mengine wamevaa kiheshima tena ni wamama wasiodhaniwa kama ni makahaba.

Machimbo ya makahaba ni mengi na mengine ni invisible kuwadhibiti ni ngumu
 
Mkuu hebu tuambie mwanaume utadili nae vipi!
Labda watadhibiti nyege za wanaume zisipande. Karibia nusu ya wanaume huwa hawajaoa wakiwemo vijana. Sasa hizo nyege au hormones zinapelekwa wapi.
Viongozi wanachochea upigdji punyeto indirectly.
 
Tatizo la jeshi letu la polisi nchini miaka nenda ni kukubali kuendeshwa na wanasiasa vilaza wa chama tawala.
 
Ni zuga tu, askari wasaka makahaba wenyewe pia hujitwalia vinono hivyo bure. Askari gani rijali aache kula vinono hivyo vya kujiokotea bure? Wanajifanya kuwabughudhi tu lakini mwisho wanajitwalia kula bure
 
Hamna kiongozi pale
 
Ni zuga tu, askari wasaka makahaba wenyewe pia hujitwalia vinono hivyo bure. Askari gani rijali aache kula vinono hivyo vya kujiokotea bure? Wanajifanya kuwabughudhi tu lakini mwisho wanajitwalia kula bure
Mkuu hiyo picha kwenye Avatar yako imenitamanisha πŸ˜‹
 
Kwa kifupi askari waache kuingilia faragha za watu. Fikiria askari wa kike kwenda kumbughudhi mwanamke mwenzake wakati na yeye ana utamu kama mwenzake haingii akilini. Kwa maumbile hayo hata wao ni makahaba tu kwa namna fulani huko faraghani kwao. Kama hao makahaba wananyanduliwa hadharani mchana peupe kila mtu anaona hapo itakuwa sawa kuzuiwa wasifanye hadharani kwa kuwa si kawaida. Ni aibu polisi kuingilia mapenzi ya watu kwani kahaba hana utambulisho mwanamke yeyote anaweza kufanya ukahaba. Ukahaba ni faragha huwezi kuingilia faragha za watu
 
Punguza hasira mkuu. Kwa viongozi wengi wa nchi kuwa wabovu na wezi wa mali ya umma, unaweza jikuta unatukana mtu hadharani.

Mwingine kajiuzulu sijui kwa kutafuta huruma ya wananchi ilhali ni wale wale majambazi ya bila silaha.
 
Kituo cha mabatini polisi wengi ni walevi na washnz tu
Hawana nidhamu ya kazi kabisa
Polisi tz inalea sana ujinga

Ova
 
Yaan Mambo mengi muda mchache.. huko palestina nako mara sijui kuna Wajuba wanatembea kilometa 1600 mara meli imetekwa.. ukigeuka huku Mateka wameachiliwa.. tafrani hapo WAYAHUDI wa Bujumbura hawajaweka maoni yao yakipumbavu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mihemko imetawala fikra humu ndani.

Chuki imeweka mawingu ya giza kwenye upeo.

Makusudi au bahati mbaya?


Kwamba wengi tunaamini kabisa mkuu wa mkoa kawaagiza hao Askari wanaonekana humo kwenye Video? Aliwapa kabisa official order akawapa na module of execution?

Hiyo kauli yake iliyonukuliwa ni kwamba tunafanya makusudi kuitafsiri tofauti ama ni upeo uko chini kabisa usawa wa makanyagio ya malapa!?

Kwahiyo akishawajibishwa Chalamila kwa kutenguliwa ama kuhamishwa mkoa, hao Askari waliofanya mauaji wasamehewe maana walitumwa tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…