LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Wanajisumbua bure, biashara ya ukahaba iko palepale tena inazidi kushamiri kwa mtindo mpya na kwa kasi ya ajabu. Jana nilikuwa nipo gesti moja niliishia kushangaa na kucheka kwa mshangao nilichoona.
Vyumba vilikuwa vitupu ndani ya muda mfupi vyumba kumi na tano vikajaa watu wa kunyanduana chapchap huku wengene wakitokea mlango wa nyuma kuepuka kuonekana wazi.
Cha ajabu zaidi wanawake wa rika tofauti mabinti, wamama watu wazima waliingia gesti kunyanduliwa fasta fasta wakatoka wakaingia wengine. Nilijishangaa mwenyewe mbona mi sina wa kunyandua wakati wenzangu wanao tena mbilimbili, wanawapa hela kiasi gani ambazo mimi sina, au mimi siwavutii ?
Ukahaba upo na utaendelea kufanywa kwa style tofauti hata hao wanawasaka wawakamate hawatawapata.
Makahaba mengine wamevaa kiheshima tena ni wamama wasiodhaniwa kama ni makahaba.
Machimbo ya makahaba ni mengi na mengine ni invisible kuwadhibiti ni ngumu