Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Polisi hawakutumwa kufanya mauaji ila ni utaratibu wao kwenda kwenye sehemu za aina hiyo kudai rushwa. Hili ni tatizo la siku nyingi na wala siyo kweli kama wanakamata machangudoa. Hii ni njia yao ya kujipatia riziki siku zote. Tatizo ni kuwa watu wameanza kuwachoka ndiyo maana waliwapandishia. Kuhusu Chalamila, japo hahusiki na haya mauaji, lakini ni aina ya mabwege yaliyowekwa kwenye nafasi za uongozi kutumika. Hafai hata kabila haya mauaji hayatokea.
 
Badala Serikal Itafute Viongozi Wanaowachomekea Raia Vyupa Vya Matako Inang'ang'ana Na Madada Poa.NONSENSE
Serikali haitafanya chochote bila kushinikizwa na wananchi, hili jambo linatakiwa kueleweka na watu wote. Kwa mfano hayo mauaji ya huyu mlinzi ilitakiwa kuanzia ule usiku, watu waingie mitaani na kufanya mambo ambayo yangewafanya polisi na watawala kujuta na ikiwezekana kukimbia kwenye nyumba zao. Hili la mtu anauawa na polisi halafu raia tunabaki kulialia na kuomba ''rais wetu mpendwa na msikivu'' atusikilize haliwezi kuzaa matunda kamwe. Leo ni huyo mlinzi, kesho hatujui ni nani...
 
Chalamila ana akili ndogo sana. Tangu ashabikie raia kufurikiwa na maji kwenye makazi yao halali, nilimdharau sana. Inashangaza watu wapumbau kama huyu kupewa madaraka yanayomzidi na kuletwa kwenye jiji kubwa kama Dar. CCM ni mijitu ya ajabu sana.
 
Viongozi wengi tulionao wana uwezo mdogo wa kiakili ndio maana wanatumia nguvu. Hii ni nchi ya ajabu kabisa.
Hatuwezi kuchagua kiongozi mbovu kama na sisi siyo wabovu au vigezo vyetu vya kuchaguana vipo chini sana. Mfano ukipewa elfu 5 shilling na tshirts au kanga unachagua mla rushwa. Means hata sisi tuliochagua ni Wala rushwa
 
Sasa huyo mkuu wa mkoa anadhani anaweza kuwazuia wadada wasijiuze
Tena dar es salaam sinza?

Iseee kwani hawanaga mipango kazi ya kuisimamia wanapokabidhuwa ofc mbona kama hawa viongozi wetu wakipata madaraka wanakuja na agenda zao na maoni na utendaji wao na makandokando yao.
 
Makonda naye na utaratibu wa kuwalazimisha wadada wenye watoto wawataje wazazi wenzao ili wanaume ambao wameshindwa kulea hao watoto washughulikiwe.
 


Kama ndivyo basi vita yote ielekezwe kwenye jeshi la police Tanzania na sio kwa mkuu wa mkoa alieteuliwa majuzi tu na soon pia atatoka na mwingine atakalia hicho kiti.


Hao wamiliki wa maeneo ya Starehe wanaoendelea kuwalipa hao Askari ujira kila usiku nao ni sehemu ya matatizo katika jamii zetu.

Maana wao ndio washiriki wa kuyakuza matatizo na yakiwazidi uwezo wa kuyatatua Kama lilivyo hili wanakuja mbele ya jamii nzima kutaka huruma na kupeleka lawama zao kwa wasiostahili.

Jamii nayo kama hivi inaingia katika mtego wa mbwa kukimbiza mkia wake mwenyewe. Ni ujinga.




Kumuita bwege kiongozi wa mkoa aliyeteuliwa na Rais wa nchi inakuongezea nini kilichokupungukia wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…