maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Wale ni muhimu kuliko ccm.ccm ndo waliolaaniwa.Dunia bila makahaba siyo dunia.
Vita yote vielekezwe kwenye katiba, i.e. mfumo mzuri wa kuongoza. Polisi ni product tu ya mfomo mbaya. Hata wenye bar kuwalipa nayo ni tatizo la mfumo.Kama ndivyo basi vita yote ielekezwe kwenye jeshi la police Tanzania na sio kwa mkuu wa mkoa alieteuliwa majuzi tu na soon pia atatoka na mwingine atakalia hicho kiti.
Hao wamiliki wa maeneo ya Starehe wanaoendelea kuwalipa hao Askari ujira kila usiku nao ni sehemu ya matatizo katika jamii zetu.
Maana wao ndio washiriki wa kuyakuza matatizo na yakiwazidi uwezo wa kuyatatua Kama lilivyo hili wanakuja mbele ya jamii nzima kutaka huruma na kupeleka lawama zao kwa wasiostahili.
Jamii nayo kama hivi inaingia katika mtego wa mbwa kukimbiza mkia wake mwenyewe. Ni ujinga.
Kumuita bwege kiongozi wa mkoa aliyeteuliwa na Rais wa nchi inakuongezea nini kilichokupungukia wewe?
Vita yote vielekezwe kwenye katiba, i.e. mfumo mzuri wa kuongoza. Polisi ni product tu ya mfomo mbaya. Hata wenye bar kuwalipa nayo ni tatizo la mfumo.