Ni amri kutoka kwa Mkuu wa Mkoa A Chalamila tafuta Malaya wote atakaezuia piga risasi afe,Kila siku nasema mipolisi haswa ya nchi hii ni mijitu ya hovyo mnoo, hata kama nduguyo kaa nae mbali.
Aondolewe haraka apelekwe kwengine huko jiji litakua limeshamshinda
Albert akishavuta bangi zake na Njombe anajiona yeye nyati sana.
Hivi mwanamke kuvaa nguo fupi ni kujiuza?View attachment 2828910
View attachment 2828922
View attachment 2828921
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza
3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya Bar ya Board room na kuanza msako wa Dada poa kwa kusema ni agizo la Mkuu wa Mkoa.
4. Lakini Polisi hao walikuwa wakiwatoa nje wahudumu na wateja katika Bar hiyo ambao walikuwa na min skirt (sketi fupi) kwa kusema kuwa watu hao kwa mavazi yao walikuwa wanajiuza katika Bar hiyo ya usiku (night Club)
5. Wateja wengine walipona udhalilishaji na manyanyaso hayo walianza kuondoka katika Bar hiyo ya Boardroom na waliobakia waligoma kutolewaa nje ya Bar kwa muonekano wa mavazi yao.
5. CCTV za Bar ya Board room inayonyesha Polisi hao walipoona wadada wanakata kufananishwa na machangudoa walienda katika gari na kuchujua silaha aina ya bunduki (SMG) na kuanza kutishia wateja na kuelekezea katika meza za wateja waliokuwa wanakunywa katika Bar hiyo.
6. Polisi hao ambao walikuwa wanaonekana wametumia kilevi walifyatua risasi kadhaa kisha kuondoka na gari yao kutoka eneo hilo la Bar ya Boardroom na baada ya kuondoka wateja walirejea na kukuta mlinzi mmoja wapo akiwa amelala chini akiwa amepigwa risasi na kuvuja damu nyingi (video inaonyesha damu ya marehemu)
7. Mlinzi wa Board room alifariki njiani akiwa katika Bajaji anakimbizwa hospitali.
8. Matukio ya polisi kuvamia sehemu za starehe na nyumba za watu binafsi ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye anaendesha zoezi la kutafuta madanguro na kusaka madada poa.
9. Leo Mkuu wa Mkoa amesisitiza mauaji kufanywa na polisi ni Jambo la kawaida "Mtu akifia kituo cha polisi tunasema Polisi wameua, Mtu akifia hospitali tunasema ni Mapenzi ya Mungu" RC-DSM, Chalamila
10. Nawakumbusha kulaani tukio lolote la Polisi kuua raia kwa kisingizio chochote kile, Leo kwa huyu kesho kwake.
Boniface Jacob EX Mayor Ubungo
Plus chapombeAlbert akishavuta bangi zake na Njombe anajiona yeye nyati sana.
Mi Mtumishi wa umma. Siwezi kwa namna yoyote ile kutekeleza amri ya mdomo toka kwa kiongozi yoyote ile chini ya mbingu. Eti unaua wenzako kisa RC kakuagiza.Ni amri kutoka kwa Mkuu wa Mkoa A Chalamila tafuta Malaya wote atakaezuia piga risasi afe,
Weeh mwache mjomba wangu
Wao wamekutwa kwenye bizinez zao
Ye hahusiki,hajatuma mtu apigwe risasi
Hitler aliwahi kumuua hata Myahudi mmoja??Acha porojo
Chalamila ndo kafyetua risasi?
Muda huo alikuwa kwake na mkewe wakidumisha ndoa
Sio kazi ya serikali kufuatilia walevi na wazinzi.Acha ulevi na uzinzi
Ushahidi wa ukahaba hapo hamnaMshahara wa dhambi ni mauti,ukahaba nao ni tatizo
Hao madada poa yeye mwenyewe mteja. Pale hakuna kiongozi. Namuonaga anapokujaga Iringa jinsi anavyotukana, mtejenya na kuchekacheka na yule Dada Kibonge pale kwa Nelly Samora.Nikiona nchi inapambana na petty issues kama wadada poa naona ni taifa moja la kifala sana. Huyo Chalamila ni mlevi na malaya mbwa. Hatuna viongozi wenye maadili na ubunifu. Kaona hiyo ishu ya madada poa ni ajenda za msingi za mkoa?
Ukiweza kuishi nchi za waliostaarabika ukawa raia wa kudumu it is better kuliko kukaa nchi inayonuka kama Tanzania.
Maafrika hatujafikia kilele cha ustaarabu wa kujitawala na kujisimamia. Makosa makubwa walifanya wazungu ni kuja kuleta mifumo yao kwa watu weusi. Mtu mweusi aliumbwa aishi maisha ya kiporipori.
Hata nje ya Bar huwezi kuwa kamatakamata waliovaa nguo fupi kwa sababu hakuna sheria yoyote inayokataza uvaaji nguo fupi nchi hii.Mtu aliekaa baa anakunywa unamtuhumu vipi kahaba? Bora wangekuwa wamesimama huko nje ndio wawakamate.
Tambua tanzania bado ina uhuru wa mavazi ukipanga kukamata wanawake wenye nguo fupi kila night club hapa mjini ipo hivyo.
Kauwawa kahaba au Mlinzi? Samahani lakiniMshahara wa dhambi ni mauti,ukahaba nao ni tatizo