Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Kwa hiyo walitumwa waende wamelewa na wampige Risasi huyo Mlinzi ?
 
Kuna uzi humu jamvini mdau analalamika maji hayajatoka siku tano, halafu kiongozi anafuatilia petty issues kama hizi...😡
 
Yule mkulupukaji anatakiwa apelekwe milembe kwa vichaa wenzie wasisubirie hadi aanze kuokota makopo akili yake haiko sawa kabisa, hua anatoa kauli za kipumbavu Sana alafu hakuna kitu anafanywa, hayo alaiyo ongea ameiambia jamii ni kitu gani hua wanafanya huko vituo vya polisi, jitu la hovyo kabisa
 
Huyu ni kiongozi wa hovyo sana
 
Zombe alifikishwa mahakamani....watu wa haki za binadamu mko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…