Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Ushenzi mtupu!

Polisi wanalipwa "peanuts" tu wanatumwa kwenda kuwavuruga watu wazima waliojichagulia mtindo wao wa maisha tena kwa gharama zao.

Huo msako wa jengo kwa jengo wangefanya kwa majizi yaliyokwapua pesa kwa mujibu wa report ya CAG ningewapongeza! acha waendelee kutumika na CCM huku wakiendelea kuchakaa
 
Huyu RC ni mpumbavu na mjinga sana aisee. Sijui huku ndiko kulewa madaraka au ni ujinga wake tu unamchecheta..

Nadhani huwa hafikirii matokeo ya kauli zake kwanza kabla ya kujiropokea....

Kama kifo cha binadamu kimesababishwa na watu kwa makusudi au kwa uzembe iwe ni hospitali au polisi ama popote pale, hicho ni kifo tu na waliosababisha kifo hicho wote wanapaswa kuwajibika kwa matendo na makosa yao..!
 
Unakosa hata kufuatilia Mambo ya palestina

😂😂😂😂😂
Yaan Mambo mengi muda mchache.. huko palestina nako mara sijui kuna Wajuba wanatembea kilometa 1600 mara meli imetekwa.. ukigeuka huku Mateka wameachiliwa.. tafrani hapo WAYAHUDI wa Bujumbura hawajaweka maoni yao yakipumbavu.
 
Majina Yao kina nani?

Mbona hawatajwi kwa majina yao?

Mbona watuhumiwa huwa wanatajwa majina ?

Au wakiwa wananchi wa kawaida ila askari kunakuwa na sentensi za ujumla?
 
Madaraka ya kulevya
 
Ushenzi mtupu!

Polisi wanalipwa "peanuts" tu wanatumwa kwenda kuwavuruga watu wazima waliojichagulia mtindo wao wa maisha tena kwa gharama zao.

Huo msako wa jengo kwa jengo wangefanya kwa majizi yaliyokwapua pesa kwa mujibu wa report ya CAG ningewapongeza! acha waendelee kutumika na CCM huku wakiendelea kuchakaa
 
In short ni kitu lisilo na akili.. Viongozi wengi wa Tanzania hawana akili timamu
 
Haka ka mkuu ka mkoa katakuwa na 'issue fulani'....haiwezkani mtu mzima uhangaike hivi na starehe za watu....katakuwa na ka kitu....
 
Chalamila haamrishi [olisi, yeyre anasema sheria ifatwe, kujiuza miili yretu, iwe mwanamke au mwanamme ni kosa la jina Tanzania.

Hiyo sheria ipo toka enzi za mkoloni, hajaitunga Chalamila.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Na sheria ya Rushwa haipo toka mkoloni, mbona hiyo haifuatiliwi. Na mazao ya rushwa ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…