cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
MnoooKwa kweli.. [emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnoooKwa kweli.. [emoji23][emoji1787]
Huyu RC ni mpumbavu na mjinga sana aisee. Sijui huku ndiko kulewa madaraka au ni ujinga wake tu unamchecheta..
Yaan Mambo mengi muda mchache.. huko palestina nako mara sijui kuna Wajuba wanatembea kilometa 1600 mara meli imetekwa.. ukigeuka huku Mateka wameachiliwa.. tafrani hapo WAYAHUDI wa Bujumbura hawajaweka maoni yao yakipumbavu.Unakosa hata kufuatilia Mambo ya palestina
😂😂😂😂😂
Madaraka ya kulevyaHuyu RC ni mpumbavu na mjinga sana aisee. Sijui huku ndiko kuelewa madaraka au ni ujinga wake tu..
Nadhani huwa hafikirii matokeo ya kauli zake kwanza kabla ya kujiropokea....
Kama kifo cha binadamu kimesababishwa na watu kwa makusudi au kwa uzembe iwe ni hospitali au polisi ama popote pale, hicho ni kifo tu na waliosababisha kifo hicho wote wanapaswa kuwajibika kwa matendo na makosa yao..!
Huyo chalamila anatafuta kiki wakati angefocus kupambana na mafurikoJamaa (polisi) washaingia matatizoni kizembe kabisa. Na huyu RC naye hajielewi. Biashara za dada poa zipo nchi nzima, na duniani kwa ujumla.
Anaweza vp kupambana kuiondoa?
In short ni kitu lisilo na akili.. Viongozi wengi wa Tanzania hawana akili timamuKuna watu wakipewa madaraka wanaona wameuvua ubinadamu na kuwa juu ya binadamu wote.
Chalamila, ukifuatilia historia yake, si ajabu imejaa uchafu mwingi. Leo anaona amekuwa mtakatifu kiasi cha kuwasakama hao akina dada poa kwa mtutu wa bunduki.
Chalamila akiwa RC Mbeya, siku Magufuli alivyokwenda Mbeya, alitumia muda mwingi kumsifia mkurugenzi (dada), na Magufuli akamwambia Chalamila, 'nakemea hilo pepo lako la uzinzi'. Alisema hayo kwa vile aliijua tabia yake.
Kuna majitu Samia alijivua nayo lakini ameharibu kuyarudisha tena, kiasi cha kujivika tena uchafu.
AmeenIn short ni kitu lisilo na akili.. Viongozi wengi wa Tanzania hawana akili timamu
Ungeliuliza jeshi la polisi au mkuu wa mkoa.Kujitetea kijinga huko, kwani wakitumwa wakauwe walinzi?
Wewe kama huelewi sema huelewi tu, kama unauelewa ukweli jibu ukweli.Ungeliuliza jeshi la polisi au mkuu wa mkoa.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Chalamila haamrishi [olisi, yeyre anasema sheria ifatwe, kujiuza miili yretu, iwe mwanamke au mwanamme ni kosa la jina Tanzania.Kuna watu wakipewa madaraka wanaona wameuvua ubinadamu na kuwa juu ya binadamu wote.
Chalamila, ukifuatilia historia yake, si ajabu imejaa uchafu mwingi. Leo anaona amekuwa mtakatifu kiasi cha kuwasakama hao akina dada poa kwa mtutu wa bunduki.
Chalamila akiwa RC Mbeya, siku Magufuli alivyokwenda Mbeya, alitumia muda mwingi kumsifia mkurugenzi (dada), na Magufuli akamwambia Chalamila, 'nakemea hilo pepo lako la uzinzi'. Alisema hayo kwa vile aliijua tabia yake.
Kuna majitu Samia alijivua nayo lakini ameharibu kuyarudisha tena, kiasi cha kujivika tena uchafu.
Na sheria ya Rushwa haipo toka mkoloni, mbona hiyo haifuatiliwi. Na mazao ya rushwa ndio chanzo cha mmomonyoko wa maadili katika jamii na kazi.Chalamila haamrishi [olisi, yeyre anasema sheria ifatwe, kujiuza miili yretu, iwe mwanamke au mwanamme ni kosa la jina Tanzania.
Hiyo sheria ipo toka enzi za mkoloni, hajaitunga Chalamila.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?