Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Yn mambo ambayo hayahitaji siasa ukiyaingizia siasa n lazima yaende vibayaNa mimi nilisikia hivyo, sasa nashangaa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yn mambo ambayo hayahitaji siasa ukiyaingizia siasa n lazima yaende vibayaNa mimi nilisikia hivyo, sasa nashangaa!!!!
Kupunguza ujuaji mnafanya zoezi la ufuatiliaji liwe gumu kila kitu mnajifanya ujuaji sana kwanza wakiamua kuondoka hapo hamna cha kuwafanya mnawazuia kama nani? Ninyi ? Mnaataaaluma gani ya kuhoji mtu?View attachment 3031466
1.Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 Jume 2024 walifika polisi 10.
Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela
2.Walipozuiwa kuingia wote 10 na Daktari,wakakaruhusiwa waingie japo Polisi wawili tuh.
Katika hao wawili walipo ingia kumuhoji mgonjwa
wakaona mgonjwa hawezi Kuongea,
Cha ajabu Polisi mmoja akapiga simu akiwa ndani ya chumba cha Mgojwa na haijulikani alikuwa anaongea na nani.
Maongezi yake yalikuwa ya dharau sana na kejeli lwa Mgonjwa mbele ya Daktari wake.
"Mtu mwenyewe tumemuona hapa,tunammwambia tunataka kumuhoji anajifanya hawezi kuongeaaaa."
3.Jana karudi Polisi mmoja anaitwa James ,anasema katoka Ofisi ya DCI,Dodoma (ikabidi niitwe kwa haraka sana)
Alisema amekuja kuandika maelezo ya mgonjwa.
4.Tulipo mwambia mbona mgonjwa kashaandikwa maelezo na RCO (Mkuu wa Upelelezi Polisi Mkoa wa Katavi) tangu tarehe 27 June 2024, alipokuwa Hospitali ya Mpwimbwe
5.Afande James anayedai katoka Kwa DCI,Dodoma akadai yeye kaja kuchua maelezo ya nyongeza tu.
Lakini niliposoma maelezo ambayo alikuwa ameanza kuyachukua kutoka kwa Mgonjwa, alikuwa anahoji kisa chote upya na siyo nyongeza kama alivyo dai.
6.Tukawahoji Polisi Jana kuwa wanamuhoji Edger Edson Mwakabela kama mtuhumiwa au nani..?
7.Polisi wakajibu wanamuhoji Edger Edson Mwakabela kama Shahidi katika kesi hiyo.
8.Tulipomuuliza Afande James ,Edger Edson Mwakabela anahojiwa ama Shahidi katika kesi ipi na imefunguliwa wapi..?
Kajibu hata yeye hajui kama kesi imeshafunguliwa labda tumuulize DCI.
9.Tukamuuliza Afande James,Je mapaka sasa Jeshi la Polisi limefungua Jalada la Uchunguzi/ Upelelezi sehemu yoyote..?
Akajibu hata yeye mwenyewe hajui,labda tumuulize DCI
10.Tumeshangaa sana kuona maelezo ya Shahidi yanachukuliwa kabla ya Kufunguliwa kwa Jalada la kesi au Jalada la Uchunguzi.
11.Tumekubaliana mgonjwa na mawakili wake,Jeshi la Polisi lisimsumbue tena Mgonjwa wetu
Na Hospitali ya Agakhan tumewaeleza marufuku mtu kuja kumuhoji mgonjwa bila kushrikishwa sisi au ndugu wa karibu.
12.Kama DCI alikuwa anaona Mgonjwa wetu Edger Edson Mwakabela ni Shahidi muhimu atueleze
1.kwanini Mgonjwa tulimsafirisha sisi badala ya serikali au Jeshi la Polisi kutoka katavi kuja Dar es saalam.
2. Ni kwa nini tulipoomba escort ya Jeshi la Polisi kusindikiza ambulance ya Mgonwa kutoka katavi hadi Dar es saalam tuliagizwa kuwalipa askari wawili waliomsindikiza Mgonjwa kila mmoja Tsh 300 ,000/=
Na tukalipa vizuri.
13.Mwisho,tumekataa kwa sasa,wakati huu wa matibabu Jeshi la Polisi kumsogelea Mgonjwa au chumba cha Mgonjwa wakati muhimu kama huu tunapo pambania uhai wake.
Kwa sababu wao Jeshi la Polisi ndiyo watuhumiwa namba moja waliotajwa na mgonjwa,kwamba wamehusika katika kumteka ,kumtesa na Kumpiga risasi.
Jana pia baada ya tukio hili tuliamua kumuhamisha mgonjwa kutoka wodi ya Watu wawili kwenda wodi ya chumba binafsi cha mtu mmoja ltk Hospitali ya Agakhan kwa ajili ya usalama na ulinzi wa Mgonjwa wetu.
N.B
Tutakuwa ni vichaa kama tutaendelea kuwapa Ushirikiano Jeshi la Polisi ambao ni watuhumiwa namba moja.
Tutakuwa ni wendawawazimu kama tutakubali Jeshi la Polisi lijichunguze na lijichukulie hatua ikiwa wao ndiyo watuhumiwa wa utekaji ,utesaji na mauaji.
Cc: Boniphace Jacob Meya Mstaafu
Hilo ndilo hawalijuhi ila wanajikuta ujuaji kuzuia askari asichukue maelezo na unaweza kuta wamemkataza asihojiwe na askari halafu baadae waje waseme polisi haikuchukua hatua sasa hatua gani na mnafanya zoezi linakua gumu ujuaji ujuaji much know wa kijinga sana hawa vijana wanachofanyaUshahidi wa kuwa walioteka polisi uko wapi?
Polisi akikosea kuna hatua huchukuliwa
Wao polisi wanataka nao kujiridhisha kama waliomteka walikuwa polisi
Na njia mojawapo ya kujua hilo ni.kumhoji aliyetuhumu
Utakuwa unahusika wewe,SI bureHuyo dogo cha kumshauri saivi kama kijana mwenzangu na binadamu pia, ajitenge na hivyo vyama vya siasa, amalize matibabu, ashukuru waliomchangia, akatoe sadaka ya shukurani kanisani, pia aombe toba pale alipoteleza kama binadamu alafu akaushe kana kwamba hakijawahi kutokea kitu. Hii ni kwa maslahi yake binafsi.
Labda kama jeshi la polisi lina report nchi jirani!Kuna maafsa wa polisi vibarua vyao vitakuwa hatarini
Stupid.Utakuwa unahusika wewe,SI bure
Naunga mkono ulichoandikaStupid.
Ulichangia?😉Ila mbona mlisema Zitto ametoa tiketi ya ndege, hy gari imetoka wap tena?
Huo Moyo wa kike umepewe wewe!!! Acha wengine waendelee kupambanaHuyo dogo cha kumshauri saivi kama kijana mwenzangu na binadamu pia, ajitenge na hivyo vyama vya siasa, amalize matibabu, ashukuru waliomchangia, akatoe sadaka ya shukurani kanisani, pia aombe toba pale alipoteleza kama binadamu alafu akaushe kana kwamba hakijawahi kutokea kitu. Hii ni kwa maslahi yake binafsi.
Aswa yule anayependa kuvaa bukta na jezi ya SimbaHuyo dogo msipokuwa makini watamuua maana wanajua akipona vyema Kuna maafsa wa polisi vibarua vyao vitakuwa hatarini.
SahihiPolisi hawajui kazi yao walitakiwa wakukamate wewe unaewazuia wasichukue maelezo maana sect 10 ya CPA cap 20 R.E 2022 imempa mamlaka polisi ya kuhoji na kuchukua maelezo ni mamlaka yaliyo kisheria
Mambo ya kipuuzi kabisa. Hii ni Gen-zezetas. Kenyata alisema Nyerere anaongoza maitiNchi inajali basi, Gen z ya bongo Iko bize kuandamana na mabango ya chama kuhamia Yanga na wanapewa escort ya polisi.
Nyie mliopewa mioyo ya kiume mnafanya nini la maana zaidi ya kutumia mitandao vibaya, mwisho wa siku wanawadaka wanabutua mnaishia kusumbua shangazi na mama zenu. Akili sijui mliweka matakoniHuo Moyo wa kike umepewe wewe!!! Acha wengine waendelee kupambana
Ndo maana nishasema uyo dogo atatumiwa kwa mlengo wa kisiasa af ndo matatizo yatamwangukia kama yote, kulikua hakuna haja ya kuwabania police kuongea nae maana atakama wao ndo watuumiwa bado wapo police wenye nia nzuri, na hata wakisema anawanyima support bado wakitaka kumpoteza au kumfanyia visa watafanya tuu na hakuna mtacho wafanya sasa yote ayo ya nini ni bora kuchagua amani kwa wakati huu kuliko vitaVitu vingine mnaleta complications bute
Alihojiwa na polisi office ya RPC Katavi
Hao waliokuja wanatoka makao makuu ambao ndio wenye uwezo wa juu kuliko RPC kujua ukweli na kuchukua hatua
Sasa tukio liliyokea Dar na Katavi
RPC Dar hajahoji unataka jeshi la polisi Dar na makao makuu litegemee tu taarifa za RPC Katavi tu wakati tukio.lilitokea miko mingi tofauti Dar,Arusha nk?
Mleta mada kuna kitu unataka kuficha
Mgonjwa anasema alipelekwa kituo cha polisi osterbay akihojiwa katavi
RPC wa katavi hana mamlaka na RPC wa Dar huyu wa Dar na yeye anatakiwa kuhoji kuanzia tukio lilipoanza sababu likianzia kwenye eneo lake
Kuhojiwa na traffic pia sio kuwa sio kawaida mtuhumiwa anasema alisafirishwa kwa gari toka alipotekwa .Njiani kuna Traffic na hata kituoni huwepo traffic sehemu zingine kamera zipo barabarani akimweleza kuwa hiyo gari siku hiyo ilikuwa gari gani traffic waweza jua bila shida.Sababu haweza safari barabara zote hizo bila hiyo gari kuonekana na Traffic polisi haiwezekani sasa mnakataa traffic asihoji mna lenu jambo
Sasa kama hamtaki kutoa ushirikiano mtakuwa na kitu mnaficha ambacho mnakijua wenyewe
Kwamba kuna sehemu Polisi wetu watakatazwa kuingia? Kwamba kuna Raia atatoa maelekezo kwa mtu au taasisi ingine asihojiwe na Polisi? Kipindi tunapigania Haki na utawala wa Sheria tusivunje Sheria SheriaView attachment 3031466
1.Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 Jume 2024 walifika polisi 10.
Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela
2.Walipozuiwa kuingia wote 10 na Daktari,wakakaruhusiwa waingie japo Polisi wawili tuh.
Katika hao wawili walipo ingia kumuhoji mgonjwa
wakaona mgonjwa hawezi Kuongea,
Cha ajabu Polisi mmoja akapiga simu akiwa ndani ya chumba cha Mgojwa na haijulikani alikuwa anaongea na nani.
Maongezi yake yalikuwa ya dharau sana na kejeli lwa Mgonjwa mbele ya Daktari wake.
"Mtu mwenyewe tumemuona hapa,tunammwambia tunataka kumuhoji anajifanya hawezi kuongeaaaa."
3.Jana karudi Polisi mmoja anaitwa James ,anasema katoka Ofisi ya DCI,Dodoma (ikabidi niitwe kwa haraka sana)
Alisema amekuja kuandika maelezo ya mgonjwa.
4.Tulipo mwambia mbona mgonjwa kashaandikwa maelezo na RCO (Mkuu wa Upelelezi Polisi Mkoa wa Katavi) tangu tarehe 27 June 2024, alipokuwa Hospitali ya Mpwimbwe
5.Afande James anayedai katoka Kwa DCI,Dodoma akadai yeye kaja kuchua maelezo ya nyongeza tu.
Lakini niliposoma maelezo ambayo alikuwa ameanza kuyachukua kutoka kwa Mgonjwa, alikuwa anahoji kisa chote upya na siyo nyongeza kama alivyo dai.
6.Tukawahoji Polisi Jana kuwa wanamuhoji Edger Edson Mwakabela kama mtuhumiwa au nani..?
7.Polisi wakajibu wanamuhoji Edger Edson Mwakabela kama Shahidi katika kesi hiyo.
8.Tulipomuuliza Afande James ,Edger Edson Mwakabela anahojiwa ama Shahidi katika kesi ipi na imefunguliwa wapi..?
Kajibu hata yeye hajui kama kesi imeshafunguliwa labda tumuulize DCI.
9.Tukamuuliza Afande James,Je mapaka sasa Jeshi la Polisi limefungua Jalada la Uchunguzi/ Upelelezi sehemu yoyote..?
Akajibu hata yeye mwenyewe hajui,labda tumuulize DCI
10.Tumeshangaa sana kuona maelezo ya Shahidi yanachukuliwa kabla ya Kufunguliwa kwa Jalada la kesi au Jalada la Uchunguzi.
11.Tumekubaliana mgonjwa na mawakili wake,Jeshi la Polisi lisimsumbue tena Mgonjwa wetu
Na Hospitali ya Agakhan tumewaeleza marufuku mtu kuja kumuhoji mgonjwa bila kushrikishwa sisi au ndugu wa karibu.
12.Kama DCI alikuwa anaona Mgonjwa wetu Edger Edson Mwakabela ni Shahidi muhimu atueleze
1.kwanini Mgonjwa tulimsafirisha sisi badala ya serikali au Jeshi la Polisi kutoka katavi kuja Dar es saalam.
2. Ni kwa nini tulipoomba escort ya Jeshi la Polisi kusindikiza ambulance ya Mgonwa kutoka katavi hadi Dar es saalam tuliagizwa kuwalipa askari wawili waliomsindikiza Mgonjwa kila mmoja Tsh 300 ,000/=
Na tukalipa vizuri.
13.Mwisho,tumekataa kwa sasa,wakati huu wa matibabu Jeshi la Polisi kumsogelea Mgonjwa au chumba cha Mgonjwa wakati muhimu kama huu tunapo pambania uhai wake.
Kwa sababu wao Jeshi la Polisi ndiyo watuhumiwa namba moja waliotajwa na mgonjwa,kwamba wamehusika katika kumteka ,kumtesa na Kumpiga risasi.
Jana pia baada ya tukio hili tuliamua kumuhamisha mgonjwa kutoka wodi ya Watu wawili kwenda wodi ya chumba binafsi cha mtu mmoja ltk Hospitali ya Agakhan kwa ajili ya usalama na ulinzi wa Mgonjwa wetu.
N.B
Tutakuwa ni vichaa kama tutaendelea kuwapa Ushirikiano Jeshi la Polisi ambao ni watuhumiwa namba moja.
Tutakuwa ni wendawawazimu kama tutakubali Jeshi la Polisi lijichunguze na lijichukulie hatua ikiwa wao ndiyo watuhumiwa wa utekaji ,utesaji na mauaji.
Cc: Boniphace Jacob Meya Mstaafu
Ndio maana police mnadharaurika sana, kama na wewe ni police basi jeshi letu lina watu wa hovyo sana.una uwezo mdogo sana kiakili halafu uache kuingilia taaluma za watu.Unajua taratibu za kipelelezi hata moja?
Eti tumezuia hakuna mtu kuruhisiwa kuja kumuhoji wewe una mamlaka ya kuzuia chombo cha dola kutekeleza wajibu wake?
Kuhusu kuwalipa askari wa escort ni wajibu wa muomba ulinzi kuwapa askari mahitaji yote muhimu hii ni kwa mujibu wa PGO,ndiyo maana mlilipa 300k.
C&P.
Kabisaaa yaan, hapo wanatafuta mbinu ya kufuta ushahidi. Police wanataka kumuua huyo mgonjwa.Huyo dogo msipokuwa makini watamuua maana wanajua akipona vyema Kuna maafsa wa polisi vibarua vyao vitakuwa hatarini.