Boniface Jacob: Vituko vya Polisi wodini kwa Edger Edson Mwakabela (Sativa)

una uwezo mdogo sana kiakili halafu uache kuingilia taaluma za watu.Unajua taratibu za kipelelezi hata moja?

Eti tumezuia hakuna mtu kuruhisiwa kuja kumuhoji wewe una mamlaka ya kuzuia chombo cha dola kutekeleza wajibu wake?

Kuhusu kuwalipa askari wa escort ni wajibu wa muomba ulinzi kuwapa askari mahitaji yote muhimu hii ni kwa mujibu wa PGO,ndiyo maana mlilipa 300k.

C&P.
 
Kupunguza ujuaji mnafanya zoezi la ufuatiliaji liwe gumu kila kitu mnajifanya ujuaji sana kwanza wakiamua kuondoka hapo hamna cha kuwafanya mnawazuia kama nani? Ninyi ? Mnaataaaluma gani ya kuhoji mtu?

Hilo ni onyo kwa vijana kujifanya mnatukana tukana ovyo na kwenu maisha magumu tu mzazi wake anashangaa sana kuona mtoto wake katika mjini anaanza kutukana viongozi mtandaoni .

Acheni askari wafanye kazi zao kuna wafu mnatamank sana hizo kazi mngekuwa ninyi ila ndio hivyo mfumo haukutaki
 
Ushahidi wa kuwa walioteka polisi uko wapi?
Polisi akikosea kuna hatua huchukuliwa

Wao polisi wanataka nao kujiridhisha kama waliomteka walikuwa polisi
Na njia mojawapo ya kujua hilo ni.kumhoji aliyetuhumu
Hilo ndilo hawalijuhi ila wanajikuta ujuaji kuzuia askari asichukue maelezo na unaweza kuta wamemkataza asihojiwe na askari halafu baadae waje waseme polisi haikuchukua hatua sasa hatua gani na mnafanya zoezi linakua gumu ujuaji ujuaji much know wa kijinga sana hawa vijana wanachofanya
 
Utakuwa unahusika wewe,SI bure
 
Sema wana harakati wa bongo wana matusi
 
Huo Moyo wa kike umepewe wewe!!! Acha wengine waendelee kupambana
 
Polisi hawajui kazi yao walitakiwa wakukamate wewe unaewazuia wasichukue maelezo maana sect 10 ya CPA cap 20 R.E 2022 imempa mamlaka polisi ya kuhoji na kuchukua maelezo ni mamlaka yaliyo kisheria
 
Polisi hawajui kazi yao walitakiwa wakukamate wewe unaewazuia wasichukue maelezo maana sect 10 ya CPA cap 20 R.E 2022 imempa mamlaka polisi ya kuhoji na kuchukua maelezo ni mamlaka yaliyo kisheria
Sahihi
 
Huo Moyo wa kike umepewe wewe!!! Acha wengine waendelee kupambana
Nyie mliopewa mioyo ya kiume mnafanya nini la maana zaidi ya kutumia mitandao vibaya, mwisho wa siku wanawadaka wanabutua mnaishia kusumbua shangazi na mama zenu. Akili sijui mliweka matakoni
 
Ndo maana nishasema uyo dogo atatumiwa kwa mlengo wa kisiasa af ndo matatizo yatamwangukia kama yote, kulikua hakuna haja ya kuwabania police kuongea nae maana atakama wao ndo watuumiwa bado wapo police wenye nia nzuri, na hata wakisema anawanyima support bado wakitaka kumpoteza au kumfanyia visa watafanya tuu na hakuna mtacho wafanya sasa yote ayo ya nini ni bora kuchagua amani kwa wakati huu kuliko vita
 
Kwamba kuna sehemu Polisi wetu watakatazwa kuingia? Kwamba kuna Raia atatoa maelekezo kwa mtu au taasisi ingine asihojiwe na Polisi? Kipindi tunapigania Haki na utawala wa Sheria tusivunje Sheria Sheria
 
Ndio maana police mnadharaurika sana, kama na wewe ni police basi jeshi letu lina watu wa hovyo sana.

Yaani mnahisi ni haki yenu kuvamia hovyo hovyo makazi ya watu na kuwa force wafanye vile mnataka, eti unaingilia taaluma za watu 😃

Ombudsman ni muhimu sana katika hivi vyombo ni vile tu katiba yetu ni panga pangua.
 
Huyo dogo msipokuwa makini watamuua maana wanajua akipona vyema Kuna maafsa wa polisi vibarua vyao vitakuwa hatarini.
Kabisaaa yaan, hapo wanatafuta mbinu ya kufuta ushahidi. Police wanataka kumuua huyo mgonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…